Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweMwenye uzi ameanzisha usi mwingine wa kuogopa mende
Mzee kasema wote mnaoshadadia kuendeleza hii story anajambo na nyie usiku wa leo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaahKazi Unayo Chalii, Ngoja ni UNSUBSCRIBE fasta huu uzi nisije nikaamka asubuhi nimebon'goa na nishindwe kwenda haja siku nzima[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah ah ah,jf bwana".....Sura yangu au mtu yoyote HB...."
Mkuu inaonekana wewe ni HB sana...
Mpaka majini hukuibia sura, ili yakagongee madem.
Nenda WhatsApp na Tsh 5000 uipate fullKwani wazee si mzigo unaendelea Au ??
Halafu walivyokuwa wapumbavu maoni ya wateja wao hawayazingatii,wana viburi sana wanafikiri milele na milele watabakia juu wao tu,badala ya kuboresha upuuzi upuuzi wao waupunguze,wao ndio wanazidi kutia watu hasira,vitu wanavyoona wao ni vidogo vidogo sana ndivyo vitakavyoharibu credibility ya mtandao wao
Jiandae kula BAN mkuu😂😂😂😂Hao moderator wameshapitiwa na bwana jini[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Awale tackle😂😂Mkuu Hawa Mods wape dakika kadhaa waurudishe,wakizingua kama vipi waunganishie babu wa Z'bar afanye yake!..
Nadhani ni kwa sababu wame monopolize aina hii ya mtandao wa kijamii.hawana ushindani. Ndo maana wanakuwa na kiburi sana. Uzi wangu nlianzisha habari mchanganyiko. Wakatoa wakapeleka MMU sikulalamika. Though nliona si sahihi. Leo wameutoa MMU wameleta kwenye entertainment. Hii siyo entertainment. Siyo story ya kubuni. Why wafanye hivyo?
Ni kweli kabisaAnywayz we endelea tuu mkuu na Story Sisi Member wenzako tuna kiu ya kujifunza hapo
Huku ukijaribu kuwauliza PM huko
Kweli kabisa mkuu. Sioni sababu ya kufanya mambo yawe mengi, binafsi hata sikujua kama umehamishwaHuwezi kugombana na mwenye nyumba....labda ujenge yako.
Otherwise ni kuwa tu mpole boss hata kama hii thread yako waieweke kwenye jukwaa la biashara ni kukanyaga gia tu wadau tutasoma tu.
Apo umenena eko mkuu maana wengine tayali tume subscribe kwaiyo ashushe vitu tuu alafu tusipo angalia soon wataaza fukuta bahadhi ya comment maana moderetor sijui wanaishi wap kwa apa Tanzania kama sio ,,,,,,, kwampalange [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huwezi kugombana na mwenye nyumba....labda ujenge yako.
Otherwise ni kuwa tu mpole boss hata kama hii thread yako waieweke kwenye jukwaa la biashara ni kukanyaga gia tu wadau tutasoma tu.