kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Haa, mkuu kwani ukiandika hapa utapoteza nini? Weka vitu banaNadhani Moderator aliyeuleta huku huo uzi ataendeleza yeye. Sijafahamu ametumia kigezo gani kuona hii ni entertainment katika jambo ambalo mimi nalizungumziq lilitokea.
Sometimes kuna moderator wanatengeneza beef za hovyo tu. Kuna stories kibao watu wanazungumzia zinabaki kwenye forums zao. Mimi nliipost Habari hii Jukwaa la Hbr Mchanganyiko, wakaitoa wakapeleka MMU nikanyamaza. Now wameileta Huku.
Kama kuna malipo sisi wengine hatulipi kwenu basi mtujulishe kiwango rasmi ni tsh ngapi. Mnakwaza sana. Kama ngekuwa nmetunga ngeipeleka kwenye jukwaa husika iwe story.