Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Chupa mbili tafadhali, moja sio kweli kabisa, itaishia tu kwenye meno kumbuka hii stori inaonekana ndefu sana
Au box dogo lile la lita 3 ili twende nayo polepole tu
Lita tatu zitatutosha. Muda wa lunch nitaendeleza kidogo ule mkasa wetu kule kwa Kitoabu
 
Nadhani Moderator aliyeuleta huku huo uzi ataendeleza yeye. Sijafahamu ametumia kigezo gani kuona hii ni entertainment katika jambo ambalo mimi nalizungumziq lilitokea. Sometimes kuna moderator wanatengeneza beef za hovyo tu. Kuna stories kibao watu wanazungumzia zinabaki kwenye forums zao. Mimi nliipost Habari Mchanganyiko, wakaitoa wakapeleka MMU nikanyamaza. Now wameileta Huku.


Kama kuna malipo sisi wengine hatulipi kwenu basi mtujulishe kiwango rasmi ni tsh ngapi.
 
Nadhani Moderator aliyeuleta huku huo uzi ataendeleza yeye. Sijafahamu ametumia kigezo gani kuona hii ni entertainment katika jambo ambalo mimi nalizungumziq lilitokea.

Sometimes kuna moderator wanatengeneza beef za hovyo tu. Kuna stories kibao watu wanazungumzia zinabaki kwenye forums zao. Mimi nliipost Habari hii Jukwaa la Hbr Mchanganyiko, wakaitoa wakapeleka MMU nikanyamaza. Now wameileta Huku.


Kama kuna malipo sisi wengine hatulipi kwenu basi mtujulishe kiwango rasmi ni tsh ngapi. Mnakwaza sana. Kama ngekuwa nmetunga ngeipeleka kwenye jukwaa husika iwe story.

Pamoja sana

Uzuri msimuliaji ni mwandishi mzuri, uzi unavutia kusoma

🙀🙀😿 chizi ukuje basi .

Popcorn zimeisha kitaani story ndio kwanza ipo kati dah [emoji36]

Ww yanakuusu...acha shobo na nyuzi za watu

Daah ama kweli duniani kuna mambo magumu na mazito mno!

Hatari sana

Yananihusu Ndiyo..Ukome kuquote visivyokuhusu.

Jamaa kaenda wap tena? Kwan hajui kama kvifurushi vina expire aisee
 
Nadhani Moderator aliyeuleta huku huo uzi ataendeleza yeye. Sijafahamu ametumia kigezo gani kuona hii ni entertainment katika jambo ambalo mimi nalizungumziq lilitokea. Sometimes kuna moderator wanatengeneza beef za hovyo tu. Kuna stories kibao watu wanazungumzia zinabaki kwenye forums zao. Mimi nliipost Habari Mchanganyiko, wakaitoa wakapeleka MMU nikanyamaza. Now wameileta Huku.


Kama kuna malipo sisi wengine hatulipi kwenu basi mtujulishe kiwango rasmi ni tsh ngapi.
Kwani shida nini mkuu? Wewe si endeleza tu huku mkuu? Kwani kuna utofauti gani huko habari mchanganyiko na MMU au kwenye ndude nyingine? Si zote ziko hapa hapa JF?. Kwako wewe kuna kitu gani unapoteza au unaongezewa?.
 
Nikaingia naye room. Pale chini pana bar pia na kwa kuwa mimi nlikuwa nmepita kwa washkaji tukala ugali na kitimoto asubuhi tu ile nikawa sina sababu ya kula sana. Nakumbuka nliagiza mchemsho wa kuku na chapati naye hivyo nikaagiza na grand malt mbili tukala tukanywa tukawa tumejilaza kitandani tunaangalia movie kwenye laptop.

Ktk mashine ilikuwa imesimama vizuri kabisa. Bila shida na demu ni kama alishangaa kwa mashine kusimama kama kawaida.tofauti na siku ile ya kwanza hakuonesha kushtuka.nikamla.tofauti na nlivyotegemea. Alikuwa hana utamu. Alikuwa wa baridi tu.

Nlichukua muda sana kumaliza.yeye wala hana hisia za kitendo. Nlihangaika sana kumweka sawa.sikufanikiwa. akawa tu amepoa. Tulifanya mara tatu tu tena kwa shingo upande maana last time was like nambaka. She wasnt ready kabisa.mkavu analalamika kuumia. Pamoja na kumwandaa kote hamna kitu.

Baadaye tukawa tunatoka nikamrudisha mpaka kwake. Dukani nikarudi zangu home.

Mida ya saa 2 nlianza sikia baridi kali sana ila natokwa jasho.sikuelewa mpaka saa nne nakumbuka baada ya kuangalia tamthiliya flani (kama sikosei ilikuwa days of our lives au the young and the restless ) nikaenda kulala.

Saa saba usiku nikiwa kama nipo usingizini kama nipo macho. Nikaona nageuzwa kitandani.but ni kama naota au naona live. Nlichapwa viboko sana.sana huku damu ikitoka mgongoni.nlilia sana lakini kila napojaribu kuamka nashindwa.nikijaribu kupiga kelele sauti haitoki.ila nalia sana bila kutoa sauti.

Kesho nliamka mwili unaniuma sana na mgongoni ni kama nina majeraha yanayopona.maumivu nayasikia.sikuweza mwambia mtu ni nini kilitokea.

Nikampigia simu yule dada kumsalimu.hakupokea. nliendelea kupiga simi kila baada ya muda haikupokelewa. Mpaka usiku simu haipokelewi.

Keshokutwa yake nikaenda tabata dukani.nikamkuta yule dada msaidizi kumuuliza boss wake yu wapi akajibu toka amerudi juzi alikuwa anajisikia vibaya amepumzika.sikuoneshwa nyumbani kwa yule dada. So sikuweza enda.

Siku ya tatu napiga simu haipokelewi.nikaacha. siku ya 5 nikapiga simu kwa namba ya mdogo wangu. Akapokea nikamwambia ni mimi akakata simu.

Baada ya week na nusu toka tumefanya mapenzi akanipigia simu kuwa nipange tuonane sehemu ambayo ni ya wazi isiyo bar. Nlihangaika sana nikaja pata sehemu moja hapa Sinza.akasema atakuja mwenyewe.

Nlimtajia muda then nikawahi nikaenda subiri sehemu ili nimwone anakuja na nani. Kweli hiyo mida akapiga simu nikamwelekeza akafika.mimi nmepark gari mbali kidogo namcheck. Alikuja na gari peke yake. Akaingia nami baada ya muda akanifuata.

Ndani tumekaa mdada hakuwa na furaha.amevaa nguo ndefu sana na miwani mikubwa myeusi.tukaongea mambo kadhaa.kisha ndo tukarudi kwenye jambo la msingi.nilimweleza kilichonipata hakushtuka.nlishindwa mwelewa.mimi nlimweleza nikijua ni ushirikina maana kuna mama mmoja kitaa walikuwa wanasema ni mchawi.mtu wa kigoma.but nlishangaa why that night.na home sikumwambia mtu yeyote.

Bi dada akaanza nisimulia maisha yake yalivyo.katika hali ambayo alikuwa anaonesha ameachoka na hana furaha kabisa. Akaamua sasa aniweke wazi ni nini hasa ambacho kinaendelea katika maisha yake. This day hakuwa mwenye nuru.weupe wake ulikuwa umepungua, usoni ni kama mtu aliyechoka pengine hakulala week nzima.

Anasema shida ilianzia Zanzibar...


Ntaendelea na kisa wadau naingia barabarani kurudi home.
Dah rudi mkuu utupe mchongo huo uliishaje
 
Back
Top Bottom