Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Kisa cha Mimi kugombea demu na Jini

Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
Mkuu soma kwenye mistari..alitumia pale dukani kwa maana ya kununua bidhaa.
 
Jamani hii sio chai. Hayo Mambo yapo yalishawahi kunikuta Kama anavyosimulia huyu jamaaa. Nasema yapo
Akimaliza anzisha wako..sio mambo ya kudandia kama kile Nairoto.
 
Ameona mambo yasiwe mengi akapokea kijiti, iliwahi kutokea kwenye stori nyingine pia, mwenye uzi wake alianza kuleta madoido jamaa akaamua kuumalizia na mambo yakawa fresh
Kwahiyo acha tu jamaa atuondolee arosto
Iko hivi..kuna kundi la whatsup huko huyu kichaa mwenye maarifa hii habari ameisimulia na kuimaliza..hivyo huyu mdau naona yuko huko pia..hivyo amecheza fair.
 
Daaah kwahyo story ndo imeisha kisa mods kuuhamisha uzi
 
Hili ndilo tatizo la kutunga story inafika time unakosa Cha kutunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soma vizuri
This time nlitumia kama 170,000 kununua mazaga zaga kwake.

Hizo hella alitumia pale dukani sio kwamba alituma.
Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.

Jamaa alimtumia demu 170000 miaka ya 2000s alimtumia kwa njia ya posta au mimi ndio sijaelewa hapa.
 
Back
Top Bottom