Kisa cha mtoto mtukutu

Mcheza Piano

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2024
Posts
562
Reaction score
1,339
Asubuhi na mapema baada ya kuamka, mtoto anamfuata mama yake kwa bashasha.
Mtoto: Shkamoo mama
Mama: marahaba hujambo
Mtoto: sijambo mama.

Mtoto: Mama kwani tumenunua gari?
Mama: kwanini mwanangu?
Mtoto: Usiku nilisikia baba anakwambia "ikisimama upande"
 
Mkuu vichekesho vyako bana vya kitambo sana 2012 enzi hizo naviona fb sasa watu hatuna hela sasahv hizo nguvu za kucheka tutoe wapi
πŸ˜‚πŸ˜‚Mbona post yako ndo imetufanya tucheke kulinganisha na matapishi aliyoandika mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…