Mcheza Piano
JF-Expert Member
- Mar 2, 2024
- 562
- 1,339
Asubuhi na mapema baada ya kuamka, mtoto anamfuata mama yake kwa bashasha.
Mtoto: Shkamoo mama
Mama: marahaba hujambo
Mtoto: sijambo mama.
Mtoto: Mama kwani tumenunua gari?
Mama: kwanini mwanangu?
Mtoto: Usiku nilisikia baba anakwambia "ikisimama upande"
Mtoto: Shkamoo mama
Mama: marahaba hujambo
Mtoto: sijambo mama.
Mtoto: Mama kwani tumenunua gari?
Mama: kwanini mwanangu?
Mtoto: Usiku nilisikia baba anakwambia "ikisimama upande"