Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

Jemima Mrembo

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2021
Posts
2,864
Reaction score
8,328
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.

Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine (ndugu, jamaa, marafiki, ma ma hater) waKisema hana future, basi poa tu, we can build the future together.

I remember it was 2011, utawala wa JK uko kwenye peak, ndio nimefuñga ndoa na kapuku wangu, zaidi ya map*** yake hana chochote zaidi ya akili. Jamaa is a superb brilliant.

And it was heading to June, jamaa sijui kavuta bangi ya wapi, kaja na mawazo impossible, ila ukiyafanya kuwa possible, could change someone's life.

Basi usiku tumelala, ananiambia Wachina wanataka mbwa 79 kuna festival la kula dog?

Yalaah my sweet heart where are you going to aquire all that requisition?

Mbwa 79 unaenda kuwapata wapi? Mkoa gàni watakupa?

Jamaa nunda, wala hata hajibu swali.

Sitaki kujua , na wala kuuliza, but leo we are here because of that deal.

Wito kwa wadada wote:-
Don't underestimate mawazo ya mume wako, na mbinu zake za utafutaji.
 
IMG_7184.png
 
All in all Katika utaftaji lazima ubet,
Huyo Mumeo mkeka ulitick japo Kuna Watu Kama wawili waliwahi kutapeliwa kwa style hiyo hiyo ya wachina wanatafta mbwa. Mumeo Aliponea chupuchupu.
 
Back
Top Bottom