Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

So deal la dog lilibadilisha maisha yenu au ndio imekuwa ajira yenu ya kudumu?
 
Wachina mbwa kam
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.

Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine (ndugu, jamaa, marafiki, ma ma hater) waKisema hana future, basi poa tu, we can build the future together.

I remember it was 2011, utawala wa JK uko kwenye peak, ndio nimefuñga ndoa na kapuku wangu, zaidi ya map*** yake hana chochote zaidi ya akili. Jamaa is a superb brilliant.

And it was heading to June, jamaa sijui kavuta bangi ya wapi, kaja na mawazo impossible, ila ukiyafanya kuwa possible, could change someone's life.

Basi usiku tumelala, ananiambia Wachina wanataka mbwa 79 kuna festival la kula dog?

Yalaah my sweet heart where are you going to aquire all that requisition?

Mbwa 79 unaenda kuwapata wapi? Mkoa gàni watakupa?

Jamaa nunda, wala hata hajibu swali.

Sitaki kujua , na wala kuuliza, but leo we are here because of that deal.

Wito kwa wadada wote:-
Don't underestimate mawazo ya mume wako, na mbinu zake za utafutaji.kama mbuzi tu
 
Sasa deal Kama hili . Kila mtu Anafanya . Sema 2011 tz ilikuwa bado bado . He was just lucky he got the deal .
 
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.

Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine (ndugu, jamaa, marafiki, ma ma hater) waKisema hana future, basi poa tu, we can build the future together.

I remember it was 2011, utawala wa JK uko kwenye peak, ndio nimefuñga ndoa na kapuku wangu, zaidi ya map*** yake hana chochote zaidi ya akili. Jamaa is a superb brilliant.

And it was heading to June, jamaa sijui kavuta bangi ya wapi, kaja na mawazo impossible, ila ukiyafanya kuwa possible, could change someone's life.

Basi usiku tumelala, ananiambia Wachina wanataka mbwa 79 kuna festival la kula dog?

Yalaah my sweet heart where are you going to aquire all that requisition?

Mbwa 79 unaenda kuwapata wapi? Mkoa gàni watakupa?

Jamaa nunda, wala hata hajibu swali.

Sitaki kujua , na wala kuuliza, but leo we are here because of that deal.

Wito kwa wadada wote:-
Don't underestimate mawazo ya mume wako, na mbinu zake za utafutaji.
Uyu mtu kavuta skanka tu nawe sijui jtakuwa umevuta sigara? [emoji848]Maana iyo biashara ya mbwa hata muendelezo sijui umeisja au inaendelea
Haya vipo vijibwa vingi tu usiku majalalan
 
Back
Top Bottom