Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

images.jpeg
 
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.

Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine (ndugu, jamaa, marafiki, ma ma hater) waKisema hana future, basi poa tu, we can build the future together.

I remember it was 2011, utawala wa JK uko kwenye peak, ndio nimefuñga ndoa na kapuku wangu, zaidi ya map*** yake hana chochote zaidi ya akili. Jamaa is a superb brilliant.

And it was heading to June, jamaa sijui kavuta bangi ya wapi, kaja na mawazo impossible, ila ukiyafanya kuwa possible, could change someone's life.

Basi usiku tumelala, ananiambia Wachina wanataka mbwa 79 kuna festival la kula dog?

Yalaah my sweet heart where are you going to aquire all that requisition?

Mbwa 79 unaenda kuwapata wapi? Mkoa gàni watakupa?

Jamaa nunda, wala hata hajibu swali.

Sitaki kujua , na wala kuuliza, but leo we are here because of that deal.

Wito kwa wadada wote:-
Don't underestimate mawazo ya mume wako, na mbinu zake za utafutaji.
Duùuuu huwezi jua utatobia wapi
 
Kwamba MJ kaachana na mambo ya vilingeni siku hizi?

Big up sana kwake huyo Jamaa [emoji3]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here.

Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine (ndugu, jamaa, marafiki, ma ma hater) waKisema hana future, basi poa tu, we can build the future together.

I remember it was 2011, utawala wa JK uko kwenye peak, ndio nimefuñga ndoa na kapuku wangu, zaidi ya map*** yake hana chochote zaidi ya akili. Jamaa is a superb brilliant.

And it was heading to June, jamaa sijui kavuta bangi ya wapi, kaja na mawazo impossible, ila ukiyafanya kuwa possible, could change someone's life.

Basi usiku tumelala, ananiambia Wachina wanataka mbwa 79 kuna festival la kula dog?

Yalaah my sweet heart where are you going to aquire all that requisition?

Mbwa 79 unaenda kuwapata wapi? Mkoa gàni watakupa?

Jamaa nunda, wala hata hajibu swali.

Sitaki kujua , na wala kuuliza, but leo we are here because of that deal.

Wito kwa wadada wote:-
Don't underestimate mawazo ya mume wako, na mbinu zake za utafutaji.
And that's it
 
Ni Kweli kipenz wachache wataelewa mwanaume awe na akili ya kutamni kusogeza na uone maonoyake yategemea kufanya kazi sio Hawa wa kubet 😀
True. Mbaya sana siku hizi hasa wanaume wa mijini wamekuwa na tabia ya kujidekeza na kujilegeza kwa wanaume wenzao, what a shame??
 
Back
Top Bottom