Kisa cha mwanamke wa ziwani

Inafundisho kubwa sana kwa polisi wa Tanzania, lakini kwa jinsi walivyo wavivu kusoma, hawawezi kupata kitu.
 
dah kila nilivyokuwa naendelea kuisoma ilikuwa inanivutia mpaka nimemaliza
Lakini kifo cha Carol bado kimejaa utata nadhani sio Gordon aliyemuua mkewe ,hicho ni kitendawili
 

Sibagui sichagui, elimu ya Utambuzi naitoa kwa rika zote na ni bure kabisa...............
 
dah kila nilivyokuwa naendelea kuisoma ilikuwa inanivutia mpaka nimemaliza
Lakini kifo cha Carol bado kimejaa utata nadhani sio Gordon aliyemuua mkewe ,hicho ni kitendawili

Kuna artical moja niliwahi kuisoma mtandaoni ikimtuhumu kiongozi aliyeongoza upelelezi wa kesi hii kwa mara ya pili Ditective Chief Inspector Keith Churchman kuwa alilazimisha Gordons apatikane na hatia ili kujizolea umaarufu.................
Kwa hiyo Kesi hii inaqchukuliwa kama miongoni mwa kesi zilizo na utata na ambazo zimewashinda magwiji wengi............. lakini bado kuna matumaini kwamba ipo siku ukweli utajulikana......................
 
Ni tukio tata lenye kuleta hisia kali na umakini katika kutafakari milima na mabonde katika maisha ya ndoa.
 
Kwa kweli ianvutia sana, ngoja niingie google kama kuna lolote la zaidi.

dah kila nilivyokuwa naendelea kuisoma ilikuwa inanivutia mpaka nimemaliza
Lakini kifo cha Carol bado kimejaa utata nadhani sio Gordon aliyemuua mkewe ,hicho ni kitendawili
 
So many conspicirous theories.... as police have failed, ni ngumu kujua muuaji.

Kesi ilishakuwa ya muda mrefu na ushahidi wa witnesses ulikuwa hafifu, Pia, hata mazingira ya crime yalikuwa magumu sana kutoa ushahidi wa ktosha.
Lakini kuna uwezekano kwamba:

1) Muuaji anaweza kuwa Gordons kwa kuwa alikuwa na kila sababu ya kufanya hivyo kwa mke asiye mwaminifu. Pia, kwa kuwa na boat, he is likely to dump the boady the way it was dumped....

2) inawezekana ndugu wa Carol walifanya mpango Gordons auawe kule gerezani kwa kuwa waliona kuwa akichiwa hawatakuwa na la kufanya tena

2) Muuaji wa Carol alikuwa gerezani wakati ule na akaamua kumuua Gordons.

3) and many more...
 
ila bado majibu nani mhusika na gordon alihusikaje mpaka kufungwa. ila inavutia kufuatilia
 
Kesi hii ina utata mkubwa ahsante kwa kuiweka hapa jamvini, labda mapolisi wetu na wapelelzi watajua jinsi ya kufatailia kesi!!! Sio kufunga majalada baada ya kubambika watu kesi za ovyo!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…