punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Hivi hawa mapolisi wetu wana muda wa kuingia hapa?! Mimi huwa nawaona kama viumbe tofauti kutoka sayari nyingine kutokana na roho zao mbaya...!!Kesi hii ina utata mkubwa ahsante kwa kuiweka hapa jamvini, labda mapolisi wetu na wapelelzi watajua jinsi ya kufatailia kesi!!! Sio kufunga majalada baada ya kubambika watu kesi za ovyo!!!!!!!!!!!
Na wewe mtambuzi kwa nn umPm weka hapa ubaoni tuone wote
mkuu asante kwa hilo gazeti,
naomba umruhusu binti yako cantalisia anifupishie
mimi nimeshindwa kulisoma mkuu.
Hivi hawa mapolisi wetu wana muda wa kuingia hapa?! Mimi huwa nawaona kama viumbe tofauti kutoka sayari nyingine kutokana na roho zao mbaya...!!
Inawezekana Gordons alijiua kwa kujihisi kudhalilishwa na kuhusishwa na mauaji ya mkewe kitu ambacho hakukifanya, hivyo alijiua kwa sababu ya kufedheheshwa..
Lakini ndiyo asubiri mpaka karibu amalize kifungo chake ndio ajiue? na pia mbona alikata rufaa mara kadhaa kupinga adhabu hiyo? kwa nini asingejiua tu mara baada ya hukumu hiyo.............?
Wakati akifanya hizo harakati za kujisafisha alikuwa na matumaini kuwa atafanikiwa. sasa iliposhindikana kujisafisha na muda ulikuwa umebaki mchache kwa yeye kutoka Gerezani kwa Msamaha akaona kuwa ni bora ajimalize kuliko kupata huo uhuru wa kupewa ilhali ukweli ni kwamba hakuwa na hatia. Labda alifikiria jinsi jamii itakavyokuwa inamchukulia huko mtaani na akashindwa kuhimili, manake pamoja na kwamba angekuwa huru lakini miongoni mwa watu bado angeonekana muuaji jambo ambalo huenda hakulifanya.
Hizo facility za kutengenezea movie za namna hiyo hatuna na hata casting itatupa shida, hatuna vichwa vinavyoweza kumeza scipt za aina hii, sana sana tutachekesha tu................We need to wait until 25 years to get there my dear.......................Yani hadisi ndefu mpaka nimesoma siku mbili,haya hongera babu,fanya mpango na kanumba atutengenezee livideo lake.