wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Bunda za usd elfu 10 zinakuwa kama 30,afu unaziweka kwenye soksi sio..Wala usiendelee chai yako ishakuwa chungu, unajua dola laki 3 ni karibu milioni mia saba? (700,000,000/=) unajua hicho kitu?
Dola laki 3 ulitia kwenye socks? Socks zako zina ukubwa gani mwenzetu mtoto wa muambata wa kijeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app