wazunguwawili
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 3,984
- 4,132
Bunda za usd elfu 10 zinakuwa kama 30,afu unaziweka kwenye soksi sio..Wala usiendelee chai yako ishakuwa chungu, unajua dola laki 3 ni karibu milioni mia saba? (700,000,000/=) unajua hicho kitu?
Dola laki 3 ulitia kwenye socks? Socks zako zina ukubwa gani mwenzetu mtoto wa muambata wa kijeshi?
Wala usiendelee chai yako ishakuwa chungu, unajua dola laki 3 ni karibu milioni mia saba? (700,000,000/=) unajua hicho kitu?
Dola laki 3 ulitia kwenye socks? Socks zako zina ukubwa gani mwenzetu mtoto wa muambata wa kijeshi?
Umeona dola laki tatu badala uulize dola ya nchi gani unakimbilia kuchuka kikokotoo tu hivi unakili timamu kweliUnaona kila mtu mtoto mwenzako humu ndani sio?
Nitakupelekq shule Leo ,maana uliukimbia umandeUnaona kila mtu mtoto mwenzako humu ndani sio?
Zipo hadi NNE na mweisho ingia jukwaa la habari mbalimbaliHii ndio imetoka, hakuna kurudi hapo.
wachaga wapo makini zaidi ya mwivii mwenyewe π π πWala usiendelee chai yako ishakuwa chungu, unajua dola laki 3 ni karibu milioni mia saba? (700,000,000/=) unajua hicho kitu?
Dola laki 3 ulitia kwenye socks? Socks zako zina ukubwa gani mwenzetu mtoto wa muambata wa kijeshi?
Dolla za nchi gani au wewe ndio kilaza wa karne hii mpya sikusema USD tumia akili
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Uiattach kwenye thread hii tafadhali.