Kisa cha Mwarabu muuza madawa ya kulevya Kariakoo: Ilikuwa balaa na faida

Uzi uhamishiwe kule Chitchat au kule utani na vjchekesho.
cc Mods
 
Haya ndio madhara ya Global Warming
 
Umeharibu tu hapo kwenye dollars. Navyojua dollars 100 ndio noti kubwa America. Hii ina maana kuwa ili upate dola laki tatu lazima iwe hv 100*3000, hii ni sawa na kusema umebeba bundles 6 za ream paper. Nikupe mtihani kidogo tu ili angalau nianze kukuamini. Chukua plain paper mia moja (kama ni elfu kumi za kibongo, plain paper hizo tutaziita milioni moja) kisha vaa soksi kama ulizokuwa nazo, zipachike hizo pesa kisha tutazidisha ukubwa huo mara mia tatu.
 
Kumbe wewe ni jinga lenye akili sio kama kawe alumni
 
Endelea na story bwana[emoji23][emoji23] Kama chai kwan umewalazimisha wanywe


Enh kwahiyo hapo polisi ww ukaishiaje? Na hao waliokamatwa hawakukushtukia?

Kiliendelea nini?
 
Wala usiendelee chai yako ishakuwa chungu, unajua dola laki 3 ni karibu milioni mia saba? (700,000,000/=) unajua hicho kitu?

Dola laki 3 ulitia kwenye socks? Socks zako zina ukubwa gani mwenzetu mtoto wa muambata wa kijeshi?
Mwambatanisha wa kijeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…