albab
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,198
- 2,562
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, Polisi na majeshi yote)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. Inauma sana.
Jeshi la polisi mkoa wa Geita lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wana maumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.
Mwenyekiti Umekurupuka (kwa simu uliyopigiwa na musukuma) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafu sana kutoka CCM.
Magufuli Polisi Geita ilikupenda umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki Msukuma. Natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati.
Inauma sana. Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.
KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
KUJUA KILICHOTOKEA SOMA
Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha