Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Kanyasu kurudi bungeni labda JW wamshikie Bunduki msimamizi wa uchaguzi.Geita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanyasu kurudi bungeni labda JW wamshikie Bunduki msimamizi wa uchaguzi.Geita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani
Huwa nashindwa kuwaelewa "nyie watu", kwa nin mnashabikia huu Ujinga.? inamaana nyie hamna ndugu wanaoteseka na awamu hi?Umeshawahi kuwaza kwann TAL anadeal na kanda ya ziwa kwa sasa?
Majibu.
M/kiti alijua ni kwao akawapendelea sana sasa jamaa anachokifanya anajenga chuki ya m/kiti na mahomeboy wake.
Mpaka sasa ukweli ni kwamba anaichukia kanda ya ziwa na ni ukweli usiopingika kwamba atashinda miaka mingine 5. Subiri nyongo atakayoimwaga kanda ya ziwa hamtaamini. Sahauni maendeleo KUSINI jiandaeni kupokea kila aina ya sifa kutoka kwa m/kiti
Tuko wengi sana.Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Bora wewe mimi ni msukuma mwenye asili ya Geita lkn naongozwa na misingi ya Kikatoliki huyu JPM hastahili hata kuingia kanisaniMimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Huyu magu ndo mwenye mipango yote ya kuua.Bila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
Huna akl, atamfukuza vipi wakati ndio hulka yakeBila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
"Mapolisi saaa hivi hawasikilizi mtu ambaye wanajua hatashinda".[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mapolisi saaa hivi hawasililizi mtu ambaye wanajua hatashinda. Waacheni watende kazi zao kwa mujibu wa sheria na katiba na weledi wa kazi zo.
Kila la kheri polisi Nchini.
Kamanda Siro tunakuombea Mungu akujalie hekima kazi zako uzitende bila.kumwonea mtu wala kumpendelea mtu. Atakaye lete fujo mshughulikie.
Panya magawa wa Lumumba mnatumia akili kweli?Geita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani
Hatari sanaMimi si mfuasi wa kigogo na sina imani na maandiko yake... Ila kiukweli POLISI na watumishi kwa ujumla hawako sawa
Pole mumy,huyu mtumishi No 1 anatuangusha sana,ametutelekeza watumishi saa hizi anatarajia muujiza upi utendeke?Tulikaa na mabamgo yetu mei mosi akayasoma lakini hajatekeleza.Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Unapokuwa muongo kuwa na kumbukumbu, fanya siasa za kweli na si kutoa uongo , siwezi kusema yote ila jitahidi ufanye siasa na si kufanya uongo JF kuwaaminisha watu uongo, nachokisema unajua ukweli wake.Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
CCM walipanga kuleta vurugu kubwa na kuua mashabiki wa upinzani kwa sababu wanaona kama Magufuli amedhalilishwa nyumbani kwake. Hawakutegemea Lissu kupata mapokezi makubwa namna hii. Polisi walifanya kazi ya ziada na kuwatanya hao mashabiki wa CCM. Matokeo yake wakuu wa polisi waliohusika wamehamishwa na kupelekwa sehemu nyingine huku wakipewa lawama kubwa.Hapa ni WHERE WE DARE TO TALK OPENLY hebu funguka kisa kizima
Haueleweki kweli!mimi huu uzi sijauelewa
Joseph musukuma ni mtu mjinga duniani na ni darasa la saba.nfiye mshauri mkuu wa mambo ya chama na serikali wa John magufuli . Na nfipo walikoipeleka nchi na chama sasa.yajayo..Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)
Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.
Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.
MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.
MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati....
Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.
KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
Hana akili huyo falaUnataka kusema Magufuli anachafuliwa na Siro au Siro ndio anachafuliwa.?