Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Unayo mimba wewe, lini ukawa CCM wewe?
Si ubadilishe ID basi ili udanganye?
 
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Wewe umeajiriwa unalalamika hamna ajira mpya huko ufipa ndio maelekezo mliyopewa?
 
CCM walipanga kuleta vurugu kubwa na kuua mashabiki wa upinzani kwa sababu wanaona kama Magufuli amedhalilishwa nyumbani kwake. Hawakutegemea Lissu kupata mapokezi makubwa namna hii. Polisi walifanya kazi ya ziada na kuwatanya hao mashabiki wa CCM. Matokeo yake wakuu wa polisi waliohusika wamehamishwa na kupelekwa sehemu nyingine huku wakipewa lawama kubwa. Lissu kwenye mkutano wa waandishi wa habari Nyamagana amezungumzia hili jambo. Unajua tena huyu jamaa wa sasa anavyopenda kuabudiwa na ubabe... amechanganyikiwa na kuna habari Sirro anapata lawama kubwa. Cha kujiuliza ni hiki: Je Sirro ndiye anayewabeba mashabiki wa upinzani kwenda kwenye mikutano ya Lissu?
Kamanda Mwabulambo Mponjoli amehamishwa???? CCM Geita hata wafanye nini hawawezi kushinda hili Jimbo Kwanza kuwalaumu polisi na kuwahamisha ndio wanaharibu kabsa
 
NHIF bima yao bila aibu wamepitisha barua kisirisiri ya kutokutoa dawa muhimu zenye bei ya juu kidogo kwa wanabima bila kuwashirikisha, huu ni wizi wa mchana wa kumwibia mtumishi au mstaafu ambae amechangia bima kwa miongo kadhaa bila kuugua

Fika pale Ocean Road Hospital kitengo cha Bima uone wagonjwa wanavyosugua benchi mpaka Pharmacy na hapo dawa nyingi za kansa ambazo ni bei kiasi juu hazipo tena kama zamani hii kama sio wizi ninini?
Ni kweli kuna dawa ya macho ya mtoto wangu huwa nachukua kila mwezi, juzi nimeenda kuchukua wamekataa wamesema imetolewa Kwenye bima, keshi ni tsh elfu 40, CCM mtajuta mwaka huu!
 
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)

Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.

Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.

MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.

MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati....

Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.

KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
Wacha uchochezi ocd alipigiwa simu na upendo peneza akatuma police wakawapiga vijana wa ccm wakati walikuwa wakifanya fuji ni vijana wa chadema waliokodiwa kutoka kahama
 
Maandishi yako yanaujumbe mzito sana mkuu ..probably kunafukuta jikoni, leo nimemsikia siro akiongea ni kama vile yupo kwenye mtanzuko na hajui nini afanye ....lakini kunahuyu mtu anaitwa kigogo amedokeza jambo moja juu ya mzee kumtupia lawama igp kushindwa kutumia nguvu yake katika kutekeleza majukumu yake. Yawezekana walitaka kuwe na zile za mkutano haupo kwa sababu za kiintelijensia usalama ni mdogo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mtu wa Mungu Lisu ataleta lugha gongqna kila mahala ambapo wanapanga kumhujumu mpk anaingia ikulu
 
NHIF bima yao bila aibu wamepitisha barua kisirisiri ya kutokutoa dawa muhimu zenye bei ya juu kidogo kwa wanabima bila kuwashirikisha, huu ni wizi wa mchana wa kumwibia mtumishi au mstaafu ambae amechangia bima kwa miongo kadhaa bila kuugua

Fika pale Ocean Road Hospital kitengo cha Bima uone wagonjwa wanavyosugua benchi mpaka Pharmacy na hapo dawa nyingi za kansa ambazo ni bei kiasi juu hazipo tena kama zamani hii kama sio wizi ninini?
Ni kweli mkuu kuna dawa anatumia Mama yangu za Kifua "MONTELUKAST na FLUTICA SONE" wameziondoa zinauzwa 45,000 kila moja dah inaumiza sana.
 
Ukiwa nyuma ya keyboard danganya upendavyo...

Kila mwana JF ni mtumishi wa serikali kitengo nyeti[emoji3][emoji3]

Viva Magu 2020 to 2030
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
 
Lissu amelisifu jeshi la polisi nchini...

Sasa mnapingana na boss wenu?

Viva magu 2020 to 2030
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)

Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.

Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.

MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.

MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati....

Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.

KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
 
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Twende na Lissu Rais wetu
 
Mzee anakera huyu
 
Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
 
Back
Top Bottom