Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Aina ya wasomi wa karne ya 21.

Na watu wa aina hii ndo wanategemewa na wananchi ambao hawakwenda shule kuwa kama kioo chao, stashahada na shahada zenu hamfanani nazo.
 
Ungehitimisha kabisa kwa wito wa ombi, kizazi Cha karne ya 21 kinapenda kione Mambo yanaenda Kama kinavyofikiri, Hilo ni dogo miongoni mwa mengi unayohisi ulionewa au kudhalilishwa, nakudokeza tu intelijensia na Siasa ni Mambo yanayokula akili wa watu waliokatika ukomo wa mipaka.
 
Bila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
God forbid, halafu wakafukuzwa kazi!?
 
N in m
Mapolisi saaa hivi hawasililizi mtu ambaye wanajua hatashinda. Waacheni watende kazi zao kwa mujibu wa sheria na katiba na weledi wa kazi zo.

Kila la kheri polisi Nchini.

Kamanda Siro tunakuombea Mungu akujalie hekima kazi zako uzitende bila.kumwonea mtu wala kumpendelea mtu. Atakaye lete fujo mshughulikie.
Nimeipenda comment hii
 
Bila polisi Ccm walipanga kuwaua watu pale Kalangalala karibu ya ofisi ya ccm. Hii sidhani kama wakuu wa jeshi la polisi. Muwashukuru sana Polisi Geita. Makufuli baba mfukuze kazi Siro atakuchafua kirahisi sana
Polisi hawakuwa na taarifa za kiintelinjensia?
 
Mkuu una kitu kikubwa sana unachokijua Mkuu. Huu ni wakati wa kuhesabiwa Mkuu hasa ukitilia maanani unachokifahamu kuhusu mipango ya maccm ambacho kingesababisha mauaji at least ya Watanzania 20. Ahsante sana Mkuu weka mbele maslahi ya Tanzania na Watanzania.

Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)

Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.
Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia..
MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikua tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.
MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na jeshi ja polisi wakasimama kati....

Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.
KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
 
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu

NHIF bima yao bila aibu wamepitisha barua kisirisiri ya kutokutoa dawa muhimu zenye bei ya juu kidogo kwa wanabima bila kuwashirikisha, huu ni wizi wa mchana wa kumwibia mtumishi au mstaafu ambae amechangia bima kwa miongo kadhaa bila kuugua

Fika pale Ocean Road Hospital kitengo cha Bima uone wagonjwa wanavyosugua benchi mpaka Pharmacy na hapo dawa nyingi za kansa ambazo ni bei kiasi juu hazipo tena kama zamani hii kama sio wizi ninini?
 
Back
Top Bottom