Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
RUSHWAAAAA
 
Hivi mayala kwanini unakuwa mpotoshaji juu ya suala hili? We unafikiri humu ndani hakuna watumishi wa umma hadi upotoshe hivyo!!!
 
Kwa mara ya kwanza niliwaona polisi wakifanya kaxi yao kwa weledi na busara ya hali ya juu, kumbe jeshi la polisi lina uwezo mkubwa wa kufanya kazi, Pongezi kubwa sana kwa polisi wa geita, siku ile yangetokea maafa makubwa sana
 
Unataka kusema Magufuli anachafuliwa na Siro au Siro ndio anachafuliwa.?
Binafsi na kwa hiali yangu mwenyewe niliamua kumuweka kwenye maombi mzee wangu IGP ,MH SIRRO ,atavuka anapita kipindi kigumu maana najua mzee ana familia,lakini pia anahitaji kustahafu bila bugudha,na ale matunda ya jasho lake ,itoshe sema mzee wangu sirro ukiona watu wanakuchanganya ,waachie kazi wengine ,namanisha jiuzuru basi ,vinginevyo wakubali wakubali kutokuingilia na uendelee kuongoza kwa mjibu wa kanuni ,taratibu ,sheria wa chombo chenu namanisha jesh la police ,mzee binafsi naendelea kukuweka kwenye maombi na ni matumain yangu utavuka salama
 
Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Ng'ombe anenepeshwi siku ya mnada. Tena unawapandisha watumishi hasira zaidi.
 
Geita watachagua ccm kwa kishido huko ndio nyumbani
Mkuu kuna watu humu hawajui histori Geita mjini ni Jimbo ambalo halijawahi kuongozwa na upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
 
Tuelewesheni ambao hatuna be wala che
 
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
Acha basi umekuwa Mwanaccm lini?
 
Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Hii ni rushwa sasa. Kikwete angesema "Msinipigie bakini na kura zenu"
 
Mimi ni CCM damu na mfanyakazi wa kuajiriwa serikalini tena kwenye wizara fulani muhimu lakin kwa jinsi huyu Rais wa awamu hii anavyotutesa, miaka mitano sasa hakuna nyongeza za mishahara, posho wala ajira mpya, bima ya afya hakuna na huduma duni za afya. Safari hii uchaguzi huu kura yangu sifanyi makosa ni Lissu tu
hujaambiwa upeleke kitambulisho na kadi yako ya kupiga kura ili wakutilie CCM kabisa? Wenzako Zanzibar walioko kwenye mashirika ya umma/wizara wameambiwa wapeleke vitambulisho vyao ili wapigiwe kura kabisa kabla ya uchaguzi.
 
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS,POLISI NA MAJESHI YOTE)

Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani.. INAUMA SANA.

Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.

MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafuuuu sana kutoka CCM.

MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA.. natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati....

Inauma sana... Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.

KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.
NAWASILISHA.
Wajaribu kufanya fujo waone ..kwani kwa matendo yao na historia tayari wananchi hatuna tena imani na geshi...ole wake kinyangariko yoyote wa MATAGA atakeyeingilia msafara au mkutano wa Rais mtarajiwa wa watu...tunamshauri aage kabisa nyumbani kwamba hatorudi salama.
 
Kwa niaba ya chadema wilaya ya Geita ninalaani kitendo cha vijana wa ccm kuandaliwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ili wamfanyie fujo mgombea wetu wa urais Mhe Tundu Lissu, alipokuwa kwenye ratiba yake ya kampeni katika wilaya ya Geita Tarehe 23 Jimbo la Busanda na Tarehe 24 Jimbo la Geita na Geita Mjini.

Wilaya tulipoona hali hiyo tukaamua kutoa taarifa kwa Jeshi la Polisi huku na sisi tukiwa tumejipanga kumrinda Mgombea wetu dhidi ya vijana hao ambao walikuwa na mawe pamoja na fimbo karibu na Ofisi ya ccm ya wilaya pembezeni mwa barabara ya kutoka Geita kwenda Mwanza.

Tunalishukuru Jeshi la Polisi kwa kuchukua hatua, kwa kuwadhibiti vijana hao, lakini cha kusikitisha kabisa leo tumepata taarifa Ocd na RPC wamehamishwa vituo vyao vya kazi kwa sababu ya kuwatawanya vijana wa ccm wasimfanyie fujo Tundu Lissu.

Polisi Tarehe 24 alizuia mambo mengi sana walizuia maafa makubwa sana maana wananchi waliamua kwenda kumpokea Tundu Lissu wangewashughulikia vijana hao na sidhani kama mtu angepona lakini cha ajabu Polisi waliopambana kuzuia maafa wamehamishwa kazi.

Kwa akili ya kawaida kumbe mpango huu ulikuwa umepangwa na kuratibiwa na serikali ili Tundu Lissu afanyiwe Fujo kwenye mkutano wake, kama sio kwanini OCD na RPC wahamishwe kwenye vituo vyao vya kazi, Hivi ingekuwa ni chadema ndio Tumedhibitiwa na Polisi kwa sababu ya kufanya fujo kwenye mkutano wa ccm OCD na RPC wangehamishwa au kwa sababu ni halamu kufanya kampeni kwa vyama vya Upinzani.

Viongozi wa wilaya tunajadiliana bado kutoa tamko kwa vyombo vya habari vya ndani ya nchi na nje juu ya tukio hili.

Ni Mimi Mhere Mwita
Mwenyekiti wa chadema wilaya ya Geita.
 
Mmeshakataliwa huko mnakokuita nyumbani.
"Ka-Joni, mimi ni yule yule Ka-Joni, sijabadilika", akataliwe?

Hivi huyu mtu anayejiita "Msukuma", mbona ana mambo makubwa sana, kulikoni na mtu huyu? Maanake hata Kamanda Mawazo anahusishwa yeye..., atakuwaje na nguvu hivi? Bungeni analipuka tu kivyake apendavyo, na bado ni kipenzi cha wapiga kura?

WaTanzania wa Geita wakiwa mbele kuwakataa hawa watu, waTanzania tutarudisha heshima ya taifa letu, ya kutojali ukabila na aina zote nyingine zinazowekwa mbele kututenganisha.
 
Wewe utakuwa sio mfanyakazi wa serikali, kwa taarifa tuu, wafanyakazi wote wa serikali walioko kwenye payroll, wameishapandishwa mishahara na zile annual increments na arrears zao zote, tayari ziko approved, tarehe 23 October, mzigo wote mkubwa mnene unaingia kwenye accounts zao, tarehe 28 October, ndio siku ya kutoa shukrani.
P
Nawe una mawazo ya kipuuzi hivi , ninyi ndio mwatuletea madhira
 
Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, POLISI NA MAJESHI YOTE)

Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. INAUMA SANA.

Jeshi la polisi mkoa wa GEITA lipo kwenye masikitiko makubwa kazi haziendi, wanamaumivu, wanakuchukia mwenyekiti, wanatamani hata kugoma kwa ulichowafanyia.

MWENYEKITI Umekurupuka (KWA SIMU ULIYOPIGIWA NA MUSUKUMA) ila isingekuwa wao leo tulikuwa tumezika zaidi ya watu 20 kwa siasa chafu na chafu sana kutoka CCM.

MAGUFULI POLISI GEITA ILIKUPENDA umeinyong'onyeza kupita maelezo wanalia kwa kukosa mtetezi baba yao umewageuka bila kutaka kujua lolote kwa uongo ulioambwa na mnafiki MSUKUMA. Natamani niueleze ukweli wa mipango ya CCM iliyokuwa ni lazima damu imwagike na Jeshi ja Polisi wakasimama kati.

Inauma sana. Jitafakari mheshimiwa Mwenyekiti na SIR.$O. majibu ya hili utayaona kwa mbunge wako KANYASU.

KILA LAKHERI RPC na OCD GEITA wananchi watawakumbuka na wanaujua ukweli wote.

NAWASILISHA.

KUJUA KILICHOTOKEA SOMA

Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha
Mkuu kwa sasa viongozi wa chama wana nguvu kuliko hata DG wa Tiss na Mabeyo, kuna Halmashauri moja Katibu wa wilaya wa chama amemhamisha DSO hivi hivi kwa sababu za kipuuzi tu
 
Back
Top Bottom