Kisa cha Rafiki yangu Kutajirika na Kufariki kinahuzunisha

Kisa cha Rafiki yangu Kutajirika na Kufariki kinahuzunisha

Kama kweli mtaje jina ukishindwa utakuwa umeshindwa kutudanganya
 
Bata Gegedu hairuhusiwi kumpeleka maana nina uhakika atameza punje zote
Mkuu huwa sio kukuu tena kijana wala bata Gegedu anakuwa bosheni tuu ya mwili ila kukuu na anatamrishwa ale punje wanazotaka wao
 
Mali zitakuwepo
Mali hizo huwa hazidumu na wakati mwingine huwa zinaenda na mrithi wake mmoja mmoja na km familia haitaweza kushituka wote watakwisha. Hilo ni agano la shetani na mtaka mali ambapo agano hilo hudumu hata baada ya mhusika kufariki.

Inahitaji moyo na akili sn kurithishwa mali km hizi. Mwambie huyo shemeji Yako naye akae mkao wa kula. Hata km angekuwa haumwi ukimwi, km mrithi ipo siku atatembea km mumewe.

Mbaya zaidi hata wakimjua huyo mganga wakamwendea kubadili mawazo ili kuinusuru familia bado haiwezekani hata kwa dawa. Narudia tena na tena, inahitaji moyo na akili kurithi mali hizi ziwe pesa au vitu na wakati mwingine huwa hata kwa yeyote mwanafamilia aliegawiwa hizo mali pengine pesa au rasilimali zozote za marehemu. Kwa lugha nyepesi hata alie gawiwa nguo za huyo marehemu na kwenda kuzivaa nae akae mkao wa kula.

Ingawa kwa watu ambao si warithi wa mali za marehemu moja kwa moja baadhi ya maagano huondoa wale waliogawiwa pesa, nguo na vitu vingine vidogovidogo.

Hivyo mrithi wa hizo mali za marehemu (mkewe) asichekelee bali ajipange kweli kweli otherwise will vanish like a shadow as well. Mchezo huu huwa hauitaji hasira bali ni mchuma janga lazima ale na wakwao. Kila la heri, kampeni shemeji Yako huu ujumbe mwambie unetoka kwa BANDOKITITA.
 
Hayo ndiyo maisha sasa. Huo utajiri hata mimi nauhitaji, miaka mitatu ni mingi sana kwa kula bata.
Sema sipati koneksheni, inaishia kuwa hadithi tu.
😆😆😆
 
Kwani haifai kula bata miaka miwili alafu niwe nakesha madhabuhuni nikiomba na kusali kuvunja hizo nguvu ili maisha yaendelee hata kama ntafilisika nikama kukonda kwa simba hawezi lingana na paka kuna masalia yatabaki kwa nguvu za maombi
Hahaaa asili ya miungu haipo hivyo mkuu. Ibilisi sio mjinga hivyo, ukiingia kwenye naye huwezi chomoa kirahisi hivyo kwani pia hutakuwa na kumbukumbu hiyo.
 
Back
Top Bottom