Kisa cha RC Namfua na Watawa huko Kilimanjaro

Ningependa kupata maoni ya Ustadhi Mohamed Said kuhusiana na kisa hiki.
 
Ngongo,
Unajua fika kuwa mimi nimeacha kujadiliana na wewe muda mrefu na sababu ni kuwa unanitukana.
Hapana sijwahi kukutukana hata mara moja,lakini ninapoona unataka kuligawa taifa letu tukufu kwa misingi ya dini tena kwa hoja dhaifu lazima nikujibu wakati mwingine kwa hasira.

Kupitia bandiko hili utaona wazi Serekali ya Julius Nyerere haikujali misingi ya utawala bora,kubwa zaidi hata dhehebu lake la Catholic lilichanwa chanwa kupisha ukuu wa chama chake.

Zile hoja zako eti Waislam walionewa hazina mashiko kwasababu kuu mbili.
Mosi,hakuna dini iliyopata hasara kubwa kama wakristo enzi za mchonga waliporwa Hospital zao nyingi,waliporwa Shule zao nyingi,waliporwa taasisi zao nyingi.
 
Kilio cha Watawa kwa kufunga na kuomba kilitoa majibu. Huyu Namfua ndiye mwenye jina ulipewa Uwanja wa Soka pale Singida; kwa sasa unaitwa Liti Stadium.
 
Bwana bwana ilikua Pangani Tanga hiyo hadi aliyeona tu wakiiba akanyamaza ilimtafuna,baada ya kile kisa wale wazee waliitwa na wazee wenzao wakaapishwa wasije kurudia tena kufanya vile,
Hadi tairi za kokoteni zilibust.
 
NAMFUA KUSHA KWA JEURI YAKE ...
 
Wa sasa hivi masheikh ni janja janja, unakuta kijana anajiita sheikh na elimu kweli anayo ila mshenzi, sheikh anabeti kisirisiri, sheikh anamla mtu ndogo ama anazini na jiran wa mtu, sheikh mshirikina unategemea mtu huyu dua zake kupokelewa na kujibiwa?

Inabidi uwe mnyoofu ili dua zako ziwe nyepesi kujibiwa.
 
Hebu tufuatilie mikoa gani operesheni vijiji ilifanyika Kwa ustadi mkubwa/komaliwa,sisi wadini tuna hisia zetu
Kuna ndugu yangu alikoswa na mshale....mpaka leo kakoma mambo y sirkali cum siasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…