Kisa cha Rich Mavoko na ushauri wa kuuza Ruby

Dogo kapanic mwenyewe lkn ana nyimbo nzuri alizitoa kipindi anatoka WCB HONGERA na NAVUMILIA lkn naona hakuzi promoti wala kuzifanyia video.
 
Rich mavoko kazidisha uvivu ila muziki anajua kuna menejiment nyingi tu wanamuhitaji ila ndo hivyo
 
Toa uongo wako hapa Mavoko alikua alikua bora kabla hajaingia WCB kapote baada ya Kuingia uko

Rejea Ngoma za Mavoko kabla hasainiwa na WCB na Ngoma za Mavoko Baada ya Kusain WCB, Mavoko wa Kabla ya WCB alikua kwenye Top 5 Wasanii bora wa Bongo Fleva alivyosaini kwenye kalebo ka wapigaji wakamfanya kua Underground

hata kimapato Mavoko wa Wcb hakua na kitu zaidi ya kupata sifa za kijinga na Uteam, hakuna maendeleo yoyote aliyopata akiwa Wcb, baada ya Mavoko kuwachana ukweli na kujitoa Wcb wakaona wamununulie Mbosso Gari na Nyum
ba wakati kwa Mavoko kwa miaka yote aliyokuepo WCB hawakuwai kumfanyia hivyo na mikataba yao ya kinyonyaji

Poor WCB

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diva umeongea kwa hasira sana...vipi mbona kwa sasa hampigi tena nyimbo zake wala kumsapoti?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ndo umeongea ukweli ni kwamba wanabebwa na jina ila mikataba yao si rafiki wananyonywa sana..

hakuna mtu Anaeacha kazi inayompa mshahara mzuri na marupurupu Ukiona wafanyakazi Wanakimbia hiyo kampuni Jua Pamoto hapo kwenye maswala ya pesa
Ushauri wangu kwa madogo waliopo pale Wcb hata kama wananyonywa waendelee kupiga kazi kwa kujituma,kidogo wanachopata wafungue biashara zao binafsi tofauti na mziki lile jina la Wcb litaendelea kuwabeba huko kwenye biashara zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma ya mwisho ya rich Mavoko before ajajiunga WCB inaitwaje?
 
Acha uvivu nimekwambia tafuta ngoma za Mavoko kabla ya Wcb na za baada ya kuingia Wcb chukua mda sikiliza weka unafiki na Uteam pembeni. Njoo hapa na Majibu yupi alikua alikua mkali

WCB ndo Wamempoteza Mavoko hilo lipo Wazi,. wala Msiwasingizie Clouds media,.
Ngoma ya mwisho ya rich Mavoko before ajajiunga WCB inaitwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikio la kufa.....
Mavoko anavuna mazao ya mbegu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…