The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Hadija gani ?Yule mtoto wa Hadija na banza stone Nasikia wamechuliwa pale
Huyo hamzungumzii mavoko wa sharobaro record bali yule wa C9 record...😂..mi namchora tu huyo Robidinyo watu wanamzungumzia mavoko ambaye alishafulia kabla hajabebwa na wcb, yeye analeta stori za mavoko wakati anashine...inaonekana haijui vizuri historia ya muziki wa mavoko huyu...inabidi afanye utafiti wake tena.Robidinyo, Mavoko anasainiwa WCB alikuwa tayari keshapotea mpaka ikafika kipindi amesainiwa kwenye rebo ya king kaka huko kenya, mpaka WCB inamsaini mavoko alikuwa kimya kimziki kwa zaidi ya miaka miwili
Nnachoona umemzungumzia mavoko wa kipindi cha Sharobaro records na sio WCB
wcb kwa mavoko wamepatia sababu mvivu ..ila kwa Kondeboy 60% wamezikosa na pengo halitazibwa ngoooo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anko mwenyewe Hana pesa.Umeonhea vitu vya kiutu uzima sana..
Hana pesa za kufanyia hayo yote, promo inahitaji pesa na yeye pesa hana, video inahitaji pesa na yeye pesa hana.Dogo kapanic mwenyewe lkn ana nyimbo nzuri alizitoa kipindi anatoka WCB HONGERA na NAVUMILIA lkn naona hakuzi promoti wala kuzifanyia video.
KoppaHadija gani ?
Nakazia Makopa kopa Mujaarab.Koppa
Asante sana mkuuPole sana mkuu
Kwanini mzeeMengine yooooote nakuunga mkono
Lakini hiyo kauli ya BORA KIDOGO CHA UHAKIKA AMBACHO UNAKIJUA, KULIKO KIKUBWA AMBACHO HUKIJUI..... Hapana
Sent using Jamii Forums mobile app