Kisa cha Shariff Abdallah Attas na mwalimu Julius Nyerere ofisi ya TANU baada ya uhuru

Kisa cha Shariff Abdallah Attas na mwalimu Julius Nyerere ofisi ya TANU baada ya uhuru

Mzee Said kuna watu wengi ktk TAA ambao nimewasoma kwa mara kwanza ktk bandiko lako.

Kitabu chako hicho kinaitwaje na kinapatikana wapi? Nadhani nikikipata nitaongeza elimu na ufahamu wangu kuhysu historia ya Tanganyika.


Vv
Vv
Kitabu kinapatikana Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue:

r76e7ieA2sk0aIdqQNq6GxWn-GQqF7JCBjh5DbuNdSBweAbCILlJhqo6YZkq7M03D5-l7ndeXUO4sRGlWTNmwhOraXw60BCGY3T3qY9_RkhvuRXuIzkTeoQJATDIKYHk4HBCQwabS34S3wOP8vOaQ2yQD8O4l58OEPTdZ-K9xlqHks7Jlc09FK79b_Dx5ymOAyGymPAdvHvlWTPNHzbmD5gTxNv_gooYiV8yO_w-1bZ4nNuNX_HfIvIowCiIbBsu0RoHatEyxxPlUVB7Na-6bfKV5zPTKlvTmBC2Ve3d33ZJQlv4UPdnEl5ULy_JX_earYrzhZZ40QDiWyiDxE3MS1JGgUQnX8F-luWDxGUS8R3ScCQVqVfUJMNIWTM35VSUQIWuQy5MErLjLawvgTs6nLCFwIWYZuiLyUe5cZGN01YVhn0Bg8rohNvev1yK7LyYH23xtDsOrZLswHHb7aZDG3htk0K8M8LUns_g1oEuyIZVn2LtY_p0cWu6RMD-0QKgvgV3OHaA40S1pfCWSzRTXt8MujAWEnMw_8y4gJ_rI8KiflHAxFGT_BP_ucgRBlxLaw-D_JRcB_GY16QQksKZTw3HwT_Ft6ZxcXMh0h1AaBewvy9v=w890-h657-no
 
Vv
Kitabu kinapatikana Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue:

r76e7ieA2sk0aIdqQNq6GxWn-GQqF7JCBjh5DbuNdSBweAbCILlJhqo6YZkq7M03D5-l7ndeXUO4sRGlWTNmwhOraXw60BCGY3T3qY9_RkhvuRXuIzkTeoQJATDIKYHk4HBCQwabS34S3wOP8vOaQ2yQD8O4l58OEPTdZ-K9xlqHks7Jlc09FK79b_Dx5ymOAyGymPAdvHvlWTPNHzbmD5gTxNv_gooYiV8yO_w-1bZ4nNuNX_HfIvIowCiIbBsu0RoHatEyxxPlUVB7Na-6bfKV5zPTKlvTmBC2Ve3d33ZJQlv4UPdnEl5ULy_JX_earYrzhZZ40QDiWyiDxE3MS1JGgUQnX8F-luWDxGUS8R3ScCQVqVfUJMNIWTM35VSUQIWuQy5MErLjLawvgTs6nLCFwIWYZuiLyUe5cZGN01YVhn0Bg8rohNvev1yK7LyYH23xtDsOrZLswHHb7aZDG3htk0K8M8LUns_g1oEuyIZVn2LtY_p0cWu6RMD-0QKgvgV3OHaA40S1pfCWSzRTXt8MujAWEnMw_8y4gJ_rI8KiflHAxFGT_BP_ucgRBlxLaw-D_JRcB_GY16QQksKZTw3HwT_Ft6ZxcXMh0h1AaBewvy9v=w890-h657-no

NYARAKA ZA SYKES KATIKA KAVAZI LA MWALIMU NYERERE

M_W4ZdLTlKb4l1WFw3v6BX7VkUSuev9xY_59L8qDwvJiNMhDG9D9jAjiHkaklM-twEnTlPqB_SkH6tws5FS0S1-7n-VhK_HN8pPgT6Cfqj5XqX5YuCI3l3ADzQ1oD_sjHClUQFF_YKCCxoTC7AGk0irDfQ1oEusw_WunHp7DSnbBPrKuBOkVPNQC1JFS8wT16al_M2wrRHfPwJ718Jkk8ayG4CCoHR6Tgjmug4MXl8NCFHCQj6CqJyShKV64nXvhuhpmv4tGn8wjB386Gy3h6km1aB9ny9nCUn8-NY4UiCwO4RjCfkruKBJjE9MQF3R2WIHU9NH4C95KWeMpmaWAUbHTMtsNiWMGjUB8ENCdcIE2K1ikAS27dPS7pMAbc3G1rsXG56_hKMfMjWWnoTGmIILtRq7D-cVkYRtvTLca1qvrSnUuBfB9RfeKwPBCGP3ekjeQbUfIw6D3T7sXlPZGi51qYT5fdHA93YriG0wmxJKDGd6-0ogkPn0Rr8mrBYPk3-2Y4IcWdyF52XxzU2mEFmfuYZ-CwwZzYZBuL4GKc68grdPGvzBqnfZN30v5Ofal_1jUtzrCjJt7IJFWPkla8LsobApK_1_HpuUneS-koxp-n-K9Ag=w493-h657-no

Nyaraka kutoka kwa Kavazi la Mwalimu Nyerere ikionesha nyaraka kutoka
jalada za Ally Sykes. Angalia uongozi wa TAA 1953


Sk6k69I0RtZFZXJ-PaecSHJmodC6jD3v8wUlJ6ulwz6IFOKek-TISiPTk4yDiLr6frWfCc9xKRt-w40o8l8vBhKBThQp3zMiFHQHQKRnH41jqO5DQZocIroYF7ZLUNc3U1VYo7TLyYmgRKusRXwW6V7LcGjKPN42h2VCqCnBbvgwONBaTtuq2CJGli_daW8vaNsNELxCHSHc7rHckpqRhMaR-5pv3fpBUVPcIAfQuRGCsEKNCQUDyorLcp8tzTjkgS7V79F-Pw1tYui5YWkzmkZowH_en_yxRgoPih2U4ScrBUBGlmUtfg8Q7Mg1kdPPx5HDH466MqUSZOjXhqRI5_oyeqaxOqoHLK0kcpS2AQd3falmiFC9G0cUdjWbL6ybu6oUd0YOM5U0AgNTzRdTDXkCUHXa5HxP9nUVQg3PyqDgvsthjMZDcie-uaBYNhUSWecsMZnvrrvnwohYw6k6jkDpIR5tnLecq-xx7Lhy-EOSCv_PMwIy2JzMYpHr3IxwStib1bxzLfjPAbRggNPOcmU_h3dKCIK4UL0MxImCL9y0goncfB9To39SO5HXyi6gmYYZamqzVqfj6RAjtBF-o9UFbFl-gY2NSRteP20zlDGD7XTk=w480-h320-no

Kushoto: Dossa Aziz, Julius Nyerere, Abdulwahid Sykes na Lawi Sijaona
Arnautoglo Hall 1957


FnQeweNX_XJ2nHVKqzR8YsVrIiOYI1afkTnYZvh1b8aM2OxsgLD-JJ88xP0NJRMXZq3ssfNCXixzHyxFoq5uZbDPzivXOfbBsJO_dXjJxiNsVc4KF6xeVsAaf7bvQbM4waa4LUOnTVio6q0LXTFBW2BLWVGrJOVJQT6x8ViJ5UOokwlfKJAqo3biysdw0ckouLlrTxP2h1Uwf-rwocCz1ZpnYfiS8E2Zpl38E40CoUAow_jjHNqAZUNT04BQVPiLUbHdvZYfyF8R67SHvn2FLElTyn1J4VM2Gmz5Ts9-8rtiCXof2ZnK4jJugnV4QYxuXeC1th4z2CJ7hMxEDyoGj3eulEoYqMFt8uX3H7Qy9m9JMLXG43gTXWYeNc5vVCpOxrdCVLhrXtp5x5WjaFQHonE0PkpTuwyWVFY2YpSXnWgMSGM-7goMbzAQYNJzEVhdtPriLplSo80Pps-VnmzbciWVydHyBm3gnBWPVip-hdJ9I2uOguPwYDQwh4JDacwDYdxobXvYglqo0lPs8knxmc0qFbmsWyXDf4QEx5-syQQt7Yhp5NZflL_BcgQD5OD_a2RDCZESMkjBa7SqyEz94jQDnU4keKtvQKKH-pyvlNVnfGNz8Q=w861-h657-no

Kulia: Zuberi Mtemvu, Julius Nyerere na John Rupia
Waliosimama nyuma ni Bantu Group wa pili kulia waliosimama
ni Ali Msham picha hii ilipigwa nyumbani kwake Magoeni Mapipa
ambako alifungua tawi TANU, 1955


...Ally Sykes alimniruhusu nisome majalada yake binafsi, barua zake, shajara na kumbukumbu nyinginezo za ukoo wa Sykes. Ally Sykes alinifahamisha kuwa kumbukumbu hizi zilikuwa ndani ya sefu ambayo haikupatwa kufunguliwa kwa zaidi ya miaka therathini. Nikiyapitia majalada yake nilishangazwa na utaratibu wa Ally Sykes wa kupanga kila kitu na kila kipande cha habari mahali pake hata kingekuwa kidogo namna gani wakati ule wa harakati. Ally Sykes ana barua ya mwaka 1954 iliyoandikwa kwa penseli toka kwa Zuberi Mtemvu kwenda kwake akimtaarifu juu ya mazungumzo aliyokuwanayo (Mtemvu) na Nyerere kuhusu yeye na TANU; stakabadhi ya hundi ya posta toka kwa Ally Sykes kwenda kwa Japhet Kirilo wakati wa Mgogoro wa Ardhi ya Wameru; nakala ya barua isiyokuwa na tarehe kutoka TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth iliyotiwa saini na viongozi wote wa TAA: Rais Julius Nyerere, Makamu wa Rais Abdulwahid Sykes, Katibu Mkuu Dome Okochi, Naibu Katibu Dossa Aziz, Mweka Hazina John Rupia, Naibu Mweka Hazina Ally Sykes ikimpongeza Malkia kwa kutawazwa; barua ya mwaka 1952 toka kwa Rashid Mfaume Kawawa kutoka Bukoba kwenda kwa Ally Sykes ikimfahamisha juu ya hali ya siasa katika Kanda ya Ziwa; barua ya mwaka 1963 toka kwa Lady Judith Listowel, Kenneth Kaunda, Julius Nyerere, Kasela Bantu, Chifu Thomas Marealle ...orodha haina mwisho. ..

P36VsGegzSY22FkcLMj0G6dyp6Vf0QcDcqxb8_mMNlBZeAk6teYH33iy04QFRBNBNd3H_cfMKotXEkcHxMwiLrmIOPeZsPEt-s3QyeOQ0EDF8_RN6YNC1JR5niPC9tvEq1t7rIp0Q4vBOSD6E1hLwsR_4Asatrkwo4wa6Gr1AFcxmepAywsTOiotR5UeQVCoUzOs_ZOZVfpP5kXXtIai8JPo72aS7hhNWaQ2d18fhDbK3ReRcD2HgAsq9wu_SzGeiUft8d3uIvxepqaf9TOxQ9vZWyrnhZck3a9xj00kHA4QuqJ59Ukj1gC-g0hbZ9Qh1ajKme1Y1pjO9h67MpniJxrwGEeYhtMKl85O7N2ck__tAyF6atjrhartQLuHOrVbZFHm6fIRKF3unp3tI-h9ayhtj2SEA46LMBuVrM54hyTgNbdvPr4KzNEWy2bWtt6qg-Msw015f7GZkPPfmPmw6_spibA9J0z5qNS-H_QMBjezmQiQihECrnKk_fee1szpaSTZP5YApWeJ-BMzzZ7Y_PusjsuBlZZt05qhDxkuG8OFvDtIlrCXIvg7S1fJP6zabC-jdCf3olUwtosEa3AU_YIc97lJqBFE5Ukyfp-rgsMwbNZL=w435-h657-no



TG87NvqwXelodwSafDyl_D-8y7mKQL_Ihs3f7VHlpbns6Kz3I7ATJof1UlNNYAFvzmSnc0yjJ3PMT5lLn8wPWYCryEPFYYgZ0drztxg83Ks6JAlqq-6BPFav1Lsvwta81qro_Fi5jdymcE1QXQAd-010NuwD_ZlkC_WgtzrpmUmoIF8wSea0crktnuidNw9-7yCSGwOOLZ-F5pQ-9pcBO9A4BZUzlA9i0UPkumpXaOZ397SC-yjDbYrNYsdIPK37aOdojEa8yJNp_n56bcagXy6_TaaAfp-Hf_MY_GYhMsHuq7k4aN_4CDCLgj0zkRfvQOCX9K291QOpCQUIqAzuf6eTltZJLgT6abtxGbrYNYQQXg8c-Vr9Fp6LUKV5X3o0H5c_EPBleG9U0C8g-wtNBoYh2wDVXWXTmjNkw27FS_bRhfrIa0sXipvZ3N31BWC2YRdk-1-hUcAwGRZRdx1dVMoYZTVXSKbebfEw5Ffl8QNM4TlZhwUUuYI145qgFtzjzEmzmTmrfl24FVATDfIdx69j1P1iZmwQK82T9_odb_JO3mn8KoBXKfgzuo2Tx5O_U-vZiDiExczdzS8G-6v0xBG_uMwpfJMj2yxKt7X9oHeqMEGqVw=w352-h480-no

Kleist Sykes na wanae kulia pembeni yake ni Abbas, nyuma kulia ni
Abdulwahid na Ally


l6muOF8G4zCPSWsoeoZLHa8iRBjI5Ng1OkH6kdAjtPvfQyOuumOzVzxl4a9tE0o4TfgXQgFYATE=w493-h657-no

Chief Thomas Marealle

B1GJa-7vPs2_07tISb5jUAhN9fPQEsfx3O1KMtmAPFgln4yeVOJA_3lmfdEayswVCi3cjaR-nNt-fioqEXOgrLNuJdIWymIObJybuG0eR4xARYJYApQdSX3NSNyc08ZLMW673Y5qvLXDYrnazO1VfXspTQhXe6WpHH-gQWc-zzx7Z6fiUt7JP-UyNI5a8F55zpgAetUawuYmZ_xcU4CzPQaJIFbQlgXbfVzZh2CkVYfh5wPAZEwk1d58trV5D8G_GktQUy_O3Z_GLWXI539vCQhX8TigWWYPLxzAeEZz3AsUIcfDArONd34Mrg5WbdxmSd_NNPhfef7J2-PRvrGezcbg4U_MKLIgWMzPJByQP2fn-FZbPxU1WOD3prEbvkxE3cukyThRGwf5b9nv0VMaHyF_WpmcJDXJNTwiY_09aP4I0rcUzxFNO9uXpgXR1iUtMBWxYr2Ak86JIKcznufrE5fyEFkwIyNu-t4NaetEtURnvQBZTGvIUKCTyxcbHeLL6ht3WuW8yl9pezS6ZOeoyVp0rXm_0OSQItbN3v2hsTJxiYLDnLQ0kkRGp7H2f5xznPkl0Lkr2SV-CxTSsyEUG5BiZSgzIaJLujOKVfs35HvKnDvp5Q=w480-h360-no

Kulia: Abdulwahid Kleist Sykes na Ally Kleist Sykes Burma Infantry Vita
Kuu ya Pili


Baadaye nilipofnya utafiti kuhusu maisha ya baba yake, Kleist Sykes, nilikuja kufahamu kwamba tabia hii ilirithiwa kutoka kwa baba yake ambae alikuwa akiweka ndani ya jalada kila kipande cha karatasi kilichokuwa na habari iliyostahili kukumbukwa. Ni jambo la kuhuzunisha kwamba sikuweza kupewa shajara za Abdulwahid ambazo nilielezwa kwamba baadhi ziko katika hati-mkato na hadi leo hazijafasiriwa. Shajara hizi nimezioana kwa macho yangu lakini kwa kukosa idhini sikuweza kuzifungua na kuzisoma. Vilevile vilevile sikuweza kupata kumbukumbu halisi za Vita Kuu ya Kwanza zilizoandikwa na Kleist Sykes kwa mkono wake mwenyewe. Hapana shaka yoyote kwamba nyaraka hizi ni hazina zenye thamani isiyo na mfano wake. Ni matumaini yangu kwamba siku moja nchi yetu itakubali na kuthamini mchango wa Abdulwahid katika taifa la Tanzania na nyaraka hizi kama kielelezo cha harakati dhidi ya ukoloni, zitakubalika na zitawekwa chini ya hifadhi ya Nyaraka za Taifa kwa faida ya vizazi vijavyo.

wuFebtG8yzGzfi1M65ekiLb0fC6vtDQk91hRke1jQdtB3GcrUlOGnfwSfuqqUUJYHaYGycD1iSmgzX7Pd5CEC1vf62S9rT8BLIrWPP8VnpB-07XqdyiuD9upsnJA7axY5Inv7sFP3mazwACDDmLVAmEggdJ9GQqymF68MV7qB5xRoazu7r5OTdEz8RG8tAvIKCTZGKTcmXEsYK1ZRWsFp3eSdlObj9_rs4WDphTgQAHKcZmA3Hgcj_dr91m5ha-a2MtboGBMgBrJy4FAlGpO5eq_92NzmNE2c-cDolfr4sb4Hgg7gzE4lsFo181RImfvf7HzsskIQ4CT5UIE8QOqpGw1n3DrVRRanqE9-zftcyFNRTxYhwdjhwwVufcLCpMhxz7DToTOaMES790Alxgf9sw3mt5cbVBg7NracefjxemnQj5Yh1fsQV0vFoNKc3EIJEvS6X9-vAd0OMZ0hlc3wPvqoItNAvCMXtdoz2DQfUrM1xqguoq05U2s3G2BXVTjWZOVNL05kU16WCytXqTHX3zmfQgAwMOfQDY2FVTczZu9_lNMdJd2xMt51p9ZnRKJXw3NfxeDPKOHWh8va9uUTqDkFodQVF4U30TTr1Fwh23pZzWO=w947-h657-no

Kasella Bantu

9UIjcMSyV6Yd0NlBwXD6c9XSppceNGV3cwObU8JFZlhjZs4RnJ_bGjiJYkdlqG2k730o292UHJM_ioD3VGp7ySesRcJtdA7Bywrfqr9SqXr6o7tl-Z7busQxaev602RODYE-GuGUUNPRn3MQRIgqwd7TJeKrT7VEEbS8lrSOjZCUVytuAnmubyui37AJvdZIt__rtl6VETv9H0FeOTPvc6vpG4suRux_kCX3lQa4CW5g6aqUXK-Gc0l2Tf9Oz3lsZ_9u9TUIZXSMZscQq38UvFmuxI1YoHmiAs9tTfnaRMUjDsMIwBMwPddc2HodAdh212jIBMtB4h1PtBPlUqibmD17ckd1-kPXhZqXy2IyvFjZIrlN2yfOA8mgEiltJ9C-EMUnoOWGiQ5LyFmThT-T44Vz_RInFyZ7Tjj4BP5wrNizyLEMHAPXQWFKOekQk7CJaGwiujXrEe66OAUiLOjl9TV50vj2tFHqIktiLS1tT1tac0YK8tI22KVgauUQQXg_BewkRd5IBZ7RPFTyuxUu3Jswr7Y-nrBPe4jRIeRWA5CGOSI94NJisPvwHQwiCoOdxsgm1tlxasiJsLveDJwvDhAy8P3Yq_75w9cL4ILVECKkEIZH=w705-h657-no

Dome Okochi Budohi

EqirubVQqFvKY-jSD9dSeSGk45SLzRHoMRNvICGyYKJT0Ymc7cmfE8tkDotS-hMS3YAquHwoFNbkzOPulHlFrUj_kxF_P8n4yhPXa0EXAU5Npizei1OTwoRykTtuYQtW3LHHOC4_dm_o0xjtMepevJoXawkWjYhVcNAlcoo5wXWIGhPUykgN_AtrRViN1U-j3mrT6LxhUhyIz3gZJLuLlokJiaHUjLdsQ9y30K6aB86drjC3OIGoVCvcsF_5k-liHTp2jd3247YgTqiMjWPczx3liwFE-U_CUM7zK5urre2c5AJLmtaHiMNfgvU-tfspddTbxdtQ7JjtaMzOYDvrQw6y6p3sNyeI3J0uUDFp1bXQ7e2iTUvdqCG0mthJJdSyEGl63YzMELVb_i0m0f3Z0YHM4QzE1bp3fv5KGiCh1XZNPS4zdrYJcIU8-6FF2xdZxJsgTbZRyZPoYbRzuCA4gOGeEwdIE8Gzp53OswL4n29IyO1xnhhxDX5qyy7d9kn-WnUn8kowcrYUyBcuoddjD2TrUGmCrERXp1MKZauRBJgvflw-YxF5GM4eSsxS9efJH35zbOAZSlWtVRYlDqPxHb0lemyQwpzzwaFSvCnlqHZn-C82qg=w876-h657-no

Kulia ni Dome Okochi Budohi na kushoto ni Mwandishi Ruiru,
Nairobi 1972


Familia yangu ilifahamiana na Dome Budohi, mmoja wa wanaharakati kutoka Kenya. Wakati ule wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika alikuwa akiishi Dar es Salaam. Budohi alikuwa mmoja wa wazalendo walioasisi TANU na kadi yake ya uanachama ni no. 6 aliyopewa Julai 1954. Mwaka 1955 alikamatwa na serikali ya kikoloni kwa tuhuma ya kuwa mmoja wa askari wa Mau Mau harakati za wazalendo takriban wengi wao wakulima wadogo waliokuwa wakipigana na ukoloni wa Waingereza nchini Kenya. Ninazo kumbukumbu nyingi za utoto nikimtembelea Budohi ndani ya selo yake Kituo Cha Kati cha Polisi. Hivi sasa jengo hilo ni Makao Makuu ya Shirika la Reli la Tanzania. Wakati huo mimi nilikuwa mtoto, si zaidi ya miaka minne hivi. Jambo la kwanza ninalokumbuka kuhusu Budohi ni kuwa kila mara tulipokwenda kumtembelea tulimkuta anasoma gazeti. Baadae Budohi alihamishiwa Kenya na aliwekwa kizuizini katika kisiwa cha Lamu. Alipofunguliwa toka kizuizini mwaka wa 1963 miezi michache kabla ya uhuru wa Kenya, Budohi alikwenda Uganda na akaajiriwa na gazeti la Uganda Argus. Hivi sasa ninaelewa kwa nini siku zile kila mara nilikuwa namkuta amezama ndani ya gazeti kila tulipokwenda kumtembelea pale rumande mjini Dar es Salaam. Niliweza kwa msaada wa rafiki yake Maxwell aliyelowea Tanganyika, kumpata Budohi mjini Nairobi mwaka 1972. Nilimtembelea mjini Nairobi wakati huo alikuwa akiishi Ruiru maili chache kutoka Nairobi mjini. Budohi alikuwa ametundika picha ya Nat King Cole sebuleni kwake. Mwaka 1974 nilimtembelea tena, safari hii katika nyumba yake ya Ngei Estate. Budohi alikuja kuwa mtu wa kwanza kabisa kunipa habari kuhusu historia ya harakati za Tanganyika dhidi ya ukoloni wa Waingereza. ...

(Kutoka Kitabu Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes (1924 - 1968)...

UrLZD2Wu4SfK367p4n_z5kuBTRaRnpEl1nKVGX6vq8FWP6GQOyvgAqQHLW0MGag77cmquJudJ3c=w972-h657-no

Mwandishi na Mzee Maxwell 1997

M_W4ZdLTlKb4l1WFw3v6BX7VkUSuev9xY_59L8qDwvJiNMhDG9D9jAjiHkaklM-twEnTlPqB_SkH6tws5FS0S1-7n-VhK_HN8pPgT6Cfqj5XqX5YuCI3l3ADzQ1oD_sjHClUQFF_YKCCxoTC7AGk0irDfQ1oEusw_WunHp7DSnbBPrKuBOkVPNQC1JFS8wT16al_M2wrRHfPwJ718Jkk8ayG4CCoHR6Tgjmug4MXl8NCFHCQj6CqJyShKV64nXvhuhpmv4tGn8wjB386Gy3h6km1aB9ny9nCUn8-NY4UiCwO4RjCfkruKBJjE9MQF3R2WIHU9NH4C95KWeMpmaWAUbHTMtsNiWMGjUB8ENCdcIE2K1ikAS27dPS7pMAbc3G1rsXG56_hKMfMjWWnoTGmIILtRq7D-cVkYRtvTLca1qvrSnUuBfB9RfeKwPBCGP3ekjeQbUfIw6D3T7sXlPZGi51qYT5fdHA93YriG0wmxJKDGd6-0ogkPn0Rr8mrBYPk3-2Y4IcWdyF52XxzU2mEFmfuYZ-CwwZzYZBuL4GKc68grdPGvzBqnfZN30v5Ofal_1jUtzrCjJt7IJFWPkla8LsobApK_1_HpuUneS-koxp-n-K9Ag=w493-h657-no


Angalia picha hapo chini:
Mohamed Said: NYARAKA ZA SYKES KATIKA KAVAZI LA MWALIMU NYERERE
 
Mara baada ya kutoka chuo, kuna pahala nilijiweka nikiwa kama Mwl pale. Katika sisi alikuwepo Mzee mmoja ambae tulifundisha nae. Siku 1 kulikuwa na ufunguzi rasmi wa ofisi ile na mgeni alikuwa Mh wa awamu ya 4.

Basi kama ada, wafanyakazi tukafanya "line up" ili kusalimiana na Mgeni. Mimi nilisimama jirani na yule Mzee. Mgeni wetu akafika na kuanza kutoa mkono wa salamu huku tukijitambulisha.

Mara alipofika kwa yule Mzee, Mh hakumuachia mkono mapema, aliendelea kumshikilia mkono huku wakisemezana mambo ya hapa na pale.

Mh alionyesha kushtuka kumuona yule Mzee pale. Na akamuuliza: KUMBE UPO HAPA SIKU HIZI? Na maswali mengine.
Binafsi kiroho kilikuwa kikinidunda kwa kucheleweshwa kushikana mkono na Mh, huku Mzee akitumia muda mwingi kusalimiana nae. Yule Mzee alikuwa ni mwenye furaha siku nzima. Kuna raha yake ukikumbukwa na mtu mliefahamiana kitambo!
Mzee wa Awamu ya nne ni exceptional, akikuona mara moja inatosha,pamoja na madhaifu yake lakini namkubali sana sana sana, Mungu amuongezee miaka lukuki.
 
ahahah umenichekesha sana dah
''It pricks the heart like a cruel dagger.''
Historia hii inachoma nyoyo...

''Barua hii ya Mzee Kawawa kwa Ally Sykes ilikuwa ikimfahamisha Ally Sykes hali ya siasa Kanda ya Ziwa.

Hii barua hadi leo ipo katika nyaraka za akina Sykes.

Nilipokaa na Ally Sykes kutaka maelezo ya barua ile aliyoandikiwa na Kawawa, Ally Sykes alinipa kisa hiki:

''Mwaka 1951 nilichaguliwa kuwa katibu mkuu wa Tanganyika African Government Servants Association (TAGSA).

Chama hiki kiliundwa mwaka wa 1927 kwa lengo la kuendeleza maelewano mazuri baina ya Serikali ya Malkia na sisi watumishi Waafrika.

Rashid Kawawa alikuwa mwana kamati.
Mimi nilichaguliwa pamoja na Thomas Marealle kama rais wa TAGSA.

Katiba ya TAGSA iliamuru uchaguzi wa kila mwaka, na mimi nilirudishwa madarakani kama katibu mara nne hadi Oktoba, 1954 nilipojiuzulu baada ya kuhamishwa kwenda Korogwe kama adhabu kwa kuwa miongoni mwa wale wanachama 17 waliounda TANU.

Watu kadhaa walishika urais.

Stephen Mhando na Dr. Wilbard Mwanjisi wote hao waliwahi kuchaguliwa kuwa marais wa TAGSA.

Miongoni mwa wanachama watendaji wa TAGSA walikuwa Dr. Michael Lugazia na Rashid Kawawa ambao alichaguliwa kuwa katibu baada ya mimi kujiuzulu.

Kupitia TAGSA, Kawawa alichaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Tanganyika Federation of Labour (TFL).''

Inachoma.
''In deed here we go loobeluu.''

Hahahahahahahahaha!
Hiki kichekesho kikubwa sana duuuuu!

Historia hii haitakiwi!
Yaani iachiwe ipotee!
 
Na itaendelea kusemekana sana tu...wewe ndio ulikuwa mke wake? Ulikuwepo? Udini ni shida aiseee.


....."Historia hii inataka utulivu wa akili. Haitaki hamaki wala kuifunga akili ukawa unapenda kusikia kinacho kufurahisha"......
 
Shariff Attas...
kaka Mood naona katika kisa hiki Attas angekubali kuwa washapata kuonana na Nyerere ingekuwa bora kuliko alivyo kataa na Mwl akamua kumuacha isije kuwa kweli hawajapata kuonana,kwani mwl alikuwa na shughuri nyingi hivyo kumsahau mtu ilikuwa rahisi,nipe maoni yako Broo.
 
Nnangale,
Hawa watu wakithamini sana heshima zao.

Ikiwa kamsahau basi.

Hali kuwa jambo muhimu sana kwake kukumbukwa na Nyerere.
 
Mwalimu alikuwa mtu mwenye mawazo ya mbali kuliko wengi waliomzunguka, huenda ndio maana wengi aliwaacha njiani pia.
 
Sooth,
Katika miaka ya 1960 kulikuwa na kundi la vijana wakijiita, ''Chipukizi Club,''
wakipiga muziki wa ''pop.''

Alikuwapo Hussein Shebe, Raymond Chihota, Cuthbert Sabuni, Chico,
Nanji, Badrin, Henin Seif, Mariam, Sauda
na wengineo wakiungana na
vijana wa Kigoa na band yao, ''The Blue Diamonds.''

Walikuwa na kipindi Radio Tanzania kila Jumamosi mchana kikiitwa ''Chipukizi
Club.''

Kipindi hiki walikuwa wakikifungua na nyimbo inaitwa, ''Here We Go Luubiluu.''

Hii ndiyo ilikuwa ''signature tune'' ya kipindi hicho.

ewpqn4-FaFMKjGmhSafT_UMcz8t-FyKsVV-2-Gg-QAc38mavJQyD20ScvJZkaqjLwP4vrt1VS0H-ElKU5V0uQyasw5BXoXFnRRJoReaWRTHmFmtgBKBRwlz7LThkgWqYS2KKC_B0Uc_6D6MGknvogomi8Ul9MU7obw406TfhOX1NA7Zg90DoAPyOMYt7qWb_OzAnc_Lin9Qzr7jrYNx0dZTrzGO7EaeulcnIGP_Id5eEy1Abvjq8_kw2N-HHUuUDlxi6w5NXpOIYNLxuUptE94kO4WptOJrzbjg0alqNmLBP8rBZDt7BtkRFN7sdgGHuZXrsU-Xtg4blOiEDtzp7R33S_Q327ywJvJP0TNssrb9rOt2iryFXL3CuCxhBwD8BBIWHBRQgCypnJJXHmb0f8NnfdFYTn4-R76I3vWKwRJctndYu20yMAP70HOtMSeh4dCqdzMsj1UQSxhS298cXfUiQffQwRu0i0wnrChRkc7nTc0hDP-1zaZIrz7dCVNE017hU0WOo8-FYvBYrbVMTaE_Rk8ktHdw3VNAdg_CwlLj8vN1DDu-NPcWVz9jfExkl4eRbU9u23jfz6eb2sLAyS1RCRnk6CxalgpmafqkpiODigqScLQ=w670-h526-no

Miaka hiyo mimi ndiye huyo hapo Mnazi Mmoja na nyuma yangu ni barabara
ambayo baadae ikajapewa jina Titi Street na hizo nyumba ni Soko la Kisutu.
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.

Post hii imenitoa machozi, Kaka na Dada zangu hao. Waliotangulia Allah awarehem, tuliopo Allah atuzidishie maisha marefu, aturehem. Tuhamasishane mema na kukatazana mabaya. Amiiin.

Kati ya hao "chipukizi", juzi nimesikia mume wa Bi Mariam amefariki. Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
 

Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.

Post hii imenitoa machozi, Kaka na Dada zangu hao. Waliotangulia Allah awarehem, tuliopo Allah atuzidishie maisha marefu, aturehem. Tuhamasishane mema na kukatazana mabaya. Amiiin.

Kati ya hao "chipukizi", juzi nimesikia mume wa Bi Mariam amefariki. Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
Maalim,
Sote tumesikitika.

Miezi michache iliyopita tulikuwa nyumbani kwake katika khitma ya kuwakumbuka wenzetu waliotangulia mbele ya haki.
 
unaacha kupigania viwanja na mali mnazodai mnaporwa,unakazana na pepa ya nigeria,sasa hiyo ina mchango gani kwa uchumi kwa waislam wa tz?????

wacha porojo jikite kwa njia zipi za kuziendea kuleta uchumi,wewe kila kukicha unakazana na stori za kariakoo tu!

[HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ni uandishi uchwara!
Tuliporwa Chuo chetu na Mjerumani ambako sasa hivi ni Ikulu na Ocean Road Hospital. Ni nani wa kuvirudisha?
 
Tuliporwa Chuo chetu na Mjerumani ambako sasa hivi ni Ikulu na Ocean Road Hospital. Ni nani wa kuvirudisha?
Mliporwa wee na nani? Kwanza umoja na mshikamano hamnaga kamwe. Halafu una tatizo la udogoudogo wa kufikiri wewe. Jeuri ya kuishtaki Jamhuri mnayo?
 
Back
Top Bottom