Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #201
VvMzee Said kuna watu wengi ktk TAA ambao nimewasoma kwa mara kwanza ktk bandiko lako.
Kitabu chako hicho kinaitwaje na kinapatikana wapi? Nadhani nikikipata nitaongeza elimu na ufahamu wangu kuhysu historia ya Tanganyika.
Vv
Vv
Kitabu kinapatikana Tanzania Publishing House (TPH) Samora Avenue:
ahahah umenichekesha sana dahThere we go again!
Mzee wa Awamu ya nne ni exceptional, akikuona mara moja inatosha,pamoja na madhaifu yake lakini namkubali sana sana sana, Mungu amuongezee miaka lukuki.Mara baada ya kutoka chuo, kuna pahala nilijiweka nikiwa kama Mwl pale. Katika sisi alikuwepo Mzee mmoja ambae tulifundisha nae. Siku 1 kulikuwa na ufunguzi rasmi wa ofisi ile na mgeni alikuwa Mh wa awamu ya 4.
Basi kama ada, wafanyakazi tukafanya "line up" ili kusalimiana na Mgeni. Mimi nilisimama jirani na yule Mzee. Mgeni wetu akafika na kuanza kutoa mkono wa salamu huku tukijitambulisha.
Mara alipofika kwa yule Mzee, Mh hakumuachia mkono mapema, aliendelea kumshikilia mkono huku wakisemezana mambo ya hapa na pale.
Mh alionyesha kushtuka kumuona yule Mzee pale. Na akamuuliza: KUMBE UPO HAPA SIKU HIZI? Na maswali mengine.
Binafsi kiroho kilikuwa kikinidunda kwa kucheleweshwa kushikana mkono na Mh, huku Mzee akitumia muda mwingi kusalimiana nae. Yule Mzee alikuwa ni mwenye furaha siku nzima. Kuna raha yake ukikumbukwa na mtu mliefahamiana kitambo!
Mzee wa Awamu ya nne ni exceptional, akikuona mara moja inatosha,pamoja na madhaifu yake lakini namkubali sana sana sana, Mungu amuongezee miaka lukuki.
''It pricks the heart like a cruel dagger.''ahahah umenichekesha sana dah
Na itaendelea kusemekana sana tu...wewe ndio ulikuwa mke wake? Ulikuwepo? Udini ni shida aiseee.
Kweli ilipuuzwa sikutegemea kama mmoja kati ya hao wazee alikuwa mwanaharakati yaani bora hao wengine majina yanasikikaJasusi,
Nimekuelewa nakubali neno muafaka lingekuwa ''kupuuzwa.''
kaka Mood naona katika kisa hiki Attas angekubali kuwa washapata kuonana na Nyerere ingekuwa bora kuliko alivyo kataa na Mwl akamua kumuacha isije kuwa kweli hawajapata kuonana,kwani mwl alikuwa na shughuri nyingi hivyo kumsahau mtu ilikuwa rahisi,nipe maoni yako Broo.Shariff Attas...
Wazee wako wameteseka sana kaka Mudi. Yaani wakuja kujifanya kuwasahau maalwatan?
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.Sooth,
Katika miaka ya 1960 kulikuwa na kundi la vijana wakijiita, ''Chipukizi Club,''
wakipiga muziki wa ''pop.''
Alikuwapo Hussein Shebe, Raymond Chihota, Cuthbert Sabuni, Chico,
Nanji, Badrin, Henin Seif, Mariam, Sauda na wengineo wakiungana na
vijana wa Kigoa na band yao, ''The Blue Diamonds.''
Walikuwa na kipindi Radio Tanzania kila Jumamosi mchana kikiitwa ''Chipukizi
Club.''
Kipindi hiki walikuwa wakikifungua na nyimbo inaitwa, ''Here We Go Luubiluu.''
Hii ndiyo ilikuwa ''signature tune'' ya kipindi hicho.
Miaka hiyo mimi ndiye huyo hapo Mnazi Mmoja na nyuma yangu ni barabara
ambayo baadae ikajapewa jina Titi Street na hizo nyumba ni Soko la Kisutu.
Yoda,Mwalimu alikuwa mtu mwenye mawazo ya mbali kuliko wengi waliomzunguka, huenda ndio maana wengi aliwaacha njiani pia.
Maalim,Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
Post hii imenitoa machozi, Kaka na Dada zangu hao. Waliotangulia Allah awarehem, tuliopo Allah atuzidishie maisha marefu, aturehem. Tuhamasishane mema na kukatazana mabaya. Amiiin.
Kati ya hao "chipukizi", juzi nimesikia mume wa Bi Mariam amefariki. Inna li Llahi wa Inna Ilayhi rajiun.
Tuliporwa Chuo chetu na Mjerumani ambako sasa hivi ni Ikulu na Ocean Road Hospital. Ni nani wa kuvirudisha?unaacha kupigania viwanja na mali mnazodai mnaporwa,unakazana na pepa ya nigeria,sasa hiyo ina mchango gani kwa uchumi kwa waislam wa tz?????
wacha porojo jikite kwa njia zipi za kuziendea kuleta uchumi,wewe kila kukicha unakazana na stori za kariakoo tu!
[HASHTAG]#huo[/HASHTAG] ni uandishi uchwara!
Mliporwa wee na nani? Kwanza umoja na mshikamano hamnaga kamwe. Halafu una tatizo la udogoudogo wa kufikiri wewe. Jeuri ya kuishtaki Jamhuri mnayo?Tuliporwa Chuo chetu na Mjerumani ambako sasa hivi ni Ikulu na Ocean Road Hospital. Ni nani wa kuvirudisha?