Pang Fung Mi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2022 Posts 6,653 Reaction score 13,919 Feb 19, 2024 #41 Balaa kubwa sana
Kinkunti El Perdedo JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 5,200 Reaction score 12,762 Feb 19, 2024 #42 Umesema kweli tupu hata bwana Blaise Compaore watu wanamkumbuka kwa usaliti wake kwa rafiki yake Thomas Sankara. Hata kisa Cha Mwl.Nyerere na Oscar Kambona kinafukiwa lakini bado watu wanasema na kumbukumbu zipo. Tuishi kwa kuteteanda matendo mema.
Umesema kweli tupu hata bwana Blaise Compaore watu wanamkumbuka kwa usaliti wake kwa rafiki yake Thomas Sankara. Hata kisa Cha Mwl.Nyerere na Oscar Kambona kinafukiwa lakini bado watu wanasema na kumbukumbu zipo. Tuishi kwa kuteteanda matendo mema.