Kisa cha usaliti baina ya Lowasa na rafikiake kinasisimua Sana. Miaka ijayo kitaigizwa kwenye filamu. Ni kisa cha Maisha

Umesema kweli tupu hata bwana Blaise Compaore watu wanamkumbuka kwa usaliti wake kwa rafiki yake Thomas Sankara.

Hata kisa Cha Mwl.Nyerere na Oscar Kambona kinafukiwa lakini bado watu wanasema na kumbukumbu zipo.

Tuishi kwa kuteteanda matendo mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…