Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Mshana Jr bwana!.
Binafsi nilikutana na mdada wa JF mmoja I can confess siku yangu ilienda vizuri sana, imaginations zangu zilikuwa confirmed 100%.

Mdada mzuri, mcheshi,mpole mpole n very smart.

Tuliongea sana, tulicheka sana, tulikula sana na tulifurahi sana. Yalikuwa masaa matatu ya stori lakini it was like a heaven on earth.

Nimepanga siku moja nimkaribishe kwangu nimkirimu ukarimu wa kisukuma.

Jf kuna wanawake wazuri aisee.
 
Mimi sisemi yangu ila ukitaka kujua JF kuna visu na pini kali ingia mada ya SELFIKA
 
Mshana Jr bwana!.
Binafsi nilikutana na mdada wa JF mmoja I can confess siku yangu ilienda vizuri sana, imaginations zangu zilikuwa confirmed 100%.

Mdada mzuri, mcheshi,mpole mpole n very smart.

Tuliongea sana, tulicheka sana, tulikula sana na tulifurahi sana. Yalikuwa masaa matatu ya stori lakini it was like a heaven on earth.

Nimepanga siku moja nimkaribishe kwangu nimkirimu ukarimu wa kisukuma.

Jf kuna wanawake wazuri aisee.
Kwako ilikua hivyo, je km mwenzako alikuona tofauti na alivyotegemea? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshana Jr bwana!.
Binafsi nilikutana na mdada wa JF mmoja I can confess siku yangu ilienda vizuri sana, imaginations zangu zilikuwa confirmed 100%.

Mdada mzuri, mcheshi,mpole mpole n very smart.

Tuliongea sana, tulicheka sana, tulikula sana na tulifurahi sana. Yalikuwa masaa matatu ya stori lakini it was like a heaven on earth.

Nimepanga siku moja nimkaribishe kwangu nimkirimu ukarimu wa kisukuma.

Jf kuna wanawake wazuri aisee.
Dah! I wish my wife to be financial services naye atakua kama huyo mkuu! Hapa nilipo nina mipicha picha tu kichwani ya namna alivyo Pisi Kali 🧖💇🧏

Mungu anijalie ubashiri wangu uwe sahihi kwa asilimia 💯. Very soon nitamuomba appointment! Na naahidi kutunza SIRI zote za kambini! By the way, mimi ni Mwanaume bhana!! na siyo Mvulana!!
 
Dah! I wish my wife to be financial services naye atakua kama huyo mkuu! Hapa nilipo nina mipicha picha tu kichwani ya namna alivyo Pisi Kali [emoji3197][emoji139]🧏

Mungu anijalie ubashiri wangu uwe sahihi kwa asilimia [emoji817]. Very soon nitamuomba appointment! Na naahidi kutunza SIRI zote za kambini! By the way, mimi ni Mwanaume bhana!! na siyo Mvulana!!
Kama imaginations zako huwa ziko sawa sawa unaweza kupatia.

Kwakupitia mazungumzo yake humu I can tell you how she is.Financial Services
 
Kuwa na utambuzi bandia , kuna faida nyingi lakini vile vile kuna ficha mengi na kutatiza mengi pia.. Utambuzi bandia huleta hali ya kujiona wote tuko sawa kiumri, kiufahamu, kielimu, maono hata uzoefu
Ni mpaka pale kupitia maandishi yetu kwenye majukwaa mbalimbali ndio mtu anaanza kuona utofauti wa hayo yote...iwe kwenye mada kuu michango ya wasomaji ama aina ya jukwaa

Kiasili kati ya jinsia mbili hizi mwanamke na mwanaume, maumbile na sometimes akili ya mwanamke hukua na kukomaa haraka kuliko mwanaume..hili halina ubishi wa kubishaniwa ndio maana ni rahisi kwa mwanaume wa miaka 50 kulala na binti wa nusu ya umri wake ...lakini hali hiyo ni tofauti kabisa kwa wanawake

JamiiForums Ni mtandao uliojipambanua kwenye maono ya kuwa na usiri kwenye utambuzi ili kulinda privacy na maudhui ya wahusika...lakini ndio hapa wasiojitambua wamekitumia kipengele hiki vibaya
Tunaishi dunia ya mitandao na hili halikwepeki...lakini huko kwingine watu wanajiachia kwa picha na majina yao halisi hivyo ni rahisi kutambulika... Na huko mitandao maarufu mingi wateja wake kwa asilimia 85 hivi ni vijana chini ya miaka 30...

Unapokuja JF mambo ni tofauti kidogo wateja wake wa tangu mwanzo tayari wameshavuka miaka 30, na hata waliojiunga hapo katikati na baadae kidogo.....! JF inazidi kukua na kupata umaarufu huku ikivutia vijana wengi chini ya miaka 30, wake kwa waume..kundi ambalo damu inachemka hasa huku nafasi ya tafakuri na umakini vikiwa finyu sana

Ni kundi hili hasa la vijana wa kiume lililozoea kuchat na vibinti huko kwenye mitandao mingine , likiingia huku na kukutana na ID zenye majina ya kuvutia na picha pia, basi wao tayari hujenga picha fulani mawazoni mwao na kuchukulia huo ndio uhalisia
Na mama na dada zetu bila kuwaza sana ama kwa sababu zozote zile hujikuta wanaanza mazoea na hawa vijana hapa upenuni lakini baadae mambo hunoga na kuhamia PM...huko hubadilishana namba na kujenga ukaribu hadi kuonana

Kasheshe huja siku ya live event....dogo anataraji kukutana na pisi kinda kali kinyama,..... Mdada naye anataraji kukutana na mkaka fulani hivi decent mambo safi
Wengi hushangaana kimyakimya na kumalizana kimya kimya pia na hiyo ikiwa ndio date ya kwanza na ya mwisho...! Wadada kwa sehemu kubwa hukaa kimya na kusimuliana wenyewe kwa wenyewe...wadogo zangu wa kiume hawaweki kitu rohoni, kama hutalikuta kwenye post utalikuta kwenye reply.,..yote yakikandia uzee na utu uzima wa wanawake wa JF...

Ni vigumu kumchagulia mtu ID au avatar lakini kuepusha usumbufu ni vema watu wakawa na ID na avatar vinavyoendana na umri wao...Na kwa wadogo zangu wote JF ina watu wote humu ndani
Tuna mabibi na mababu zetu humu ndani
Tuna wajomba na mashangazi humu ndani
Tuna wadada na wakaka zetu, mawifi na mashemeji na wakwe
Tuna watoto wa mama, tuna vibaka matapeli.. Na wauza nyama pia
Tuna viongozi mbalimbali wakubwa na wadogo
Tuna matajiri na watu wenye biashara na connection mbalimbali
Wote hawa kwa ujumla wake TUNAKUTANISHWA NA UTAMBULISHO BANDIA....

Jifunze kuheshimu kila mtu....!!!!
As new member wa chini ya miaka 30 I get something
Thank you Mshana
 
Mshana Jr bwana!.
Binafsi nilikutana na mdada wa JF mmoja I can confess siku yangu ilienda vizuri sana, imaginations zangu zilikuwa confirmed 100%.

Mdada mzuri, mcheshi,mpole mpole n very smart.

Tuliongea sana, tulicheka sana, tulikula sana na tulifurahi sana. Yalikuwa masaa matatu ya stori lakini it was like a heaven on earth.

Nimepanga siku moja nimkaribishe kwangu nimkirimu ukarimu wa kisukuma.

Jf kuna wanawake wazuri aisee.
Ukarimu wa Kisukuma ni upi huo? PTER
 
Back
Top Bottom