Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Mshana Jr bwana!.
Binafsi nilikutana na mdada wa JF mmoja I can confess siku yangu ilienda vizuri sana, imaginations zangu zilikuwa confirmed 100%.

Mdada mzuri, mcheshi,mpole mpole n very smart.

Tuliongea sana, tulicheka sana, tulikula sana na tulifurahi sana. Yalikuwa masaa matatu ya stori lakini it was like a heaven on earth.

Nimepanga siku moja nimkaribishe kwangu nimkirimu ukarimu wa kisukuma.

Jf kuna wanawake wazuri aisee.
 
Mimi sisemi yangu ila ukitaka kujua JF kuna visu na pini kali ingia mada ya SELFIKA
 
Kwako ilikua hivyo, je km mwenzako alikuona tofauti na alivyotegemea? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Babuuh wee nae hupitwi lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaheri mjukuu[emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
 
Dah! I wish my wife to be financial services naye atakua kama huyo mkuu! Hapa nilipo nina mipicha picha tu kichwani ya namna alivyo Pisi Kali πŸ§–πŸ’‡πŸ§

Mungu anijalie ubashiri wangu uwe sahihi kwa asilimia πŸ’―. Very soon nitamuomba appointment! Na naahidi kutunza SIRI zote za kambini! By the way, mimi ni Mwanaume bhana!! na siyo Mvulana!!
 
Kama imaginations zako huwa ziko sawa sawa unaweza kupatia.

Kwakupitia mazungumzo yake humu I can tell you how she is.Financial Services
 
As new member wa chini ya miaka 30 I get something
Thank you Mshana
 
Ukarimu wa Kisukuma ni upi huo? PTER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…