mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Nikikutana na hizi aina za maandishi huwa siendelei kusoma ujumbe. Najioneaga tuu kama kuendelea kusoma ni kupoteza mudaOK xawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikikutana na hizi aina za maandishi huwa siendelei kusoma ujumbe. Najioneaga tuu kama kuendelea kusoma ni kupoteza mudaOK xawa
Au unaangalia mtu kajiunga lini JF. Kuna watu wame join 2002 sasa huyu anaachaje kuwa kikongwe?😂Mbona solution simple... waulizane miaka uko PM kabla ya kukutana.
Ova
Pisi kali kama wewe au siyo...Ni kweli ni vikongwe jamani mkitufata mjue mnakutana na bibi zenu pisi kali mkazifate insta uko au facebook kwenu
Sio hadi vikongwe eti tutumie ID na avatars za wazee jamani, msitunyime raha tafadhali[emoji4][emoji4][emoji4] sijasema ID za wazee hapana jamaniUzee ni baraka sana aisee, na ni kwa neema tu ya Mungu tumeweza kufikia uzee Wengi wamekufa wakiwa bado vijana wadogo kabisa, sisi tuliofika huku tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Sasa kumcheka mtu kwa sababu ana umri mkubwa ni upungufu wa akili, kwa sababu wengi wetu tunaomba na kutamani tuendelee kuwa hai, ikimaanisha tunatamani tuishi hadi tuwe vikongwe, so as long as mtu anaendelea kuishi uzee utamkuta tu.
Ukiwa interested na mtu mfuate tu PM, muulize umri wake, tumianeni na picha then ndiyo muanze kufikiria na mengine. Sio hadi vikongwe eti tutumie ID na avatars za wazee jamani, msitunyime raha tafadhali
Mimi na upisi kali wapi na wapi mimi ni kibibi gagulaPisi kali kama wewe au siyo...
Sio hadi vikongwe eti tutumie ID na avatars za wazee jamani, msitunyime raha tafadhali[emoji4][emoji4][emoji4] sijasema ID za wazee hapana jamani
Ngoja nikae kimya maana ushahidi ninao ambao siyo wa kuambiwa...Mimi na upisi kali wapi na wapi mimi ni kibibi gagula
HahahhaaNgoja nikae kimya maana ushahidi ninao ambao siyo wa kuambiwa...
Wengine tupo middle age , ambapo umri wetu unaturuhus kudate na wanawake wenye umri wowote walio tuzidi na ambao hawajatuzidi.Ni kweli ni vikongwe jamani mkitufata mjue mnakutana na bibi zenu pisi kali mkazifate insta uko au facebook kwenu
Aaah tuacheni tupumuweeeeKama hizi[emoji16]View attachment 1716236
Kuwa na utambuzi bandia , kuna faida nyingi lakini vile vile kuna ficha mengi na kutatiza mengi pia.. Utambuzi bandia huleta hali ya kujiona wote tuko sawa kiumri, kiufahamu, kielimu, maono hata uzoefu
Ni mpaka pale kupitia maandishi yetu kwenye majukwaa mbalimbali ndio mtu anaanza kuona utofauti wa hayo yote...iwe kwenye mada kuu michango ya wasomaji ama aina ya jukwaa
Kiasili kati ya jinsia mbili hizi mwanamke na mwanaume, maumbile na sometimes akili ya mwanamke hukua na kukomaa haraka kuliko mwanaume..hili halina ubishi wa kubishaniwa ndio maana ni rahisi kwa mwanaume wa miaka 50 kulala na binti wa nusu ya umri wake ...lakini hali hiyo ni tofauti kabisa kwa wanawake
JamiiForums Ni mtandao uliojipambanua kwenye maono ya kuwa na usiri kwenye utambuzi ili kulinda privacy na maudhui ya wahusika...lakini ndio hapa wasiojitambua wamekitumia kipengele hiki vibaya
Tunaishi dunia ya mitandao na hili halikwepeki...lakini huko kwingine watu wanajiachia kwa picha na majina yao halisi hivyo ni rahisi kutambulika... Na huko mitandao maarufu mingi wateja wake kwa asilimia 85 hivi ni vijana chini ya miaka 30...
Unapokuja JF mambo ni tofauti kidogo wateja wake wa tangu mwanzo tayari wameshavuka miaka 30, na hata waliojiunga hapo katikati na baadae kidogo.....! JF inazidi kukua na kupata umaarufu huku ikivutia vijana wengi chini ya miaka 30, wake kwa waume..kundi ambalo damu inachemka hasa huku nafasi ya tafakuri na umakini vikiwa finyu sana
Ni kundi hili hasa la vijana wa kiume lililozoea kuchat na vibinti huko kwenye mitandao mingine , likiingia huku na kukutana na ID zenye majina ya kuvutia na picha pia, basi wao tayari hujenga picha fulani mawazoni mwao na kuchukulia huo ndio uhalisia
Na mama na dada zetu bila kuwaza sana ama kwa sababu zozote zile hujikuta wanaanza mazoea na hawa vijana hapa upenuni lakini baadae mambo hunoga na kuhamia PM...huko hubadilishana namba na kujenga ukaribu hadi kuonana
Kasheshe huja siku ya live event....dogo anataraji kukutana na pisi kinda kali kinyama,..... Mdada naye anataraji kukutana na mkaka fulani hivi decent mambo safi
Wengi hushangaana kimyakimya na kumalizana kimya kimya pia na hiyo ikiwa ndio date ya kwanza na ya mwisho...! Wadada kwa sehemu kubwa hukaa kimya na kusimuliana wenyewe kwa wenyewe...wadogo zangu wa kiume hawaweki kitu rohoni, kama hutalikuta kwenye post utalikuta kwenye reply.,..yote yakikandia uzee na utu uzima wa wanawake wa JF...
Ni vigumu kumchagulia mtu ID au avatar lakini kuepusha usumbufu ni vema watu wakawa na ID na avatar vinavyoendana na umri wao...Na kwa wadogo zangu wote JF ina watu wote humu ndani
Tuna mabibi na mababu zetu humu ndani
Tuna wajomba na mashangazi humu ndani
Tuna wadada na wakaka zetu, mawifi na mashemeji na wakwe
Tuna watoto wa mama, tuna vibaka matapeli.. Na wauza nyama pia
Tuna viongozi mbalimbali wakubwa na wadogo
Tuna matajiri na watu wenye biashara na connection mbalimbali
Wote hawa kwa ujumla wake TUNAKUTANISHWA NA UTAMBULISHO BANDIA....
Jifunze kuheshimu kila mtu....!!!!
Umeandika ya sawa kabisa.Kuwa na utambuzi bandia , kuna faida nyingi lakini vile vile kuna ficha mengi na kutatiza mengi pia.. Utambuzi bandia huleta hali ya kujiona wote tuko sawa kiumri, kiufahamu, kielimu, maono hata uzoefu

Nakutaka hvyo hvyo dada... Nakuja piemu kuomba namba hahahahaNi kweli ni vikongwe jamani mkitufata mjue mnakutana na bibi zenu pisi kali mkazifate insta uko au facebook kwenu