Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

[emoji38][emoji38][emoji38] nini maana ya anonymity mzee baba kama tukianza kuweka Avatar za dizain hiyo!! Ni usumbufu upi huo unauzungumzia? Usumbufu wa kuona avatar ya Depal ya mdoli then kwa live event unakuta ni mama wa 40s!! Haina ubaya mbona, endeleeni tu ku'bet

Hebu mtupumzishe sisi vikongwe [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km mwehu lol.
 
Na Kweli ni wabibi,.

Tena mtupe shikamoo nyingi.

Ila unaanzaje kujicomfedisha kwa tujitu tunaandika xawa my wangu,?

Nawaza huenda hao ndo masuger sukari (mammy).
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzee ni baraka sana aisee, na ni kwa neema tu ya Mungu tumeweza kufikia uzee Wengi wamekufa wakiwa bado vijana wadogo kabisa, sisi tuliofika huku tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Sasa kumcheka mtu kwa sababu ana umri mkubwa ni upungufu wa akili, kwa sababu wengi wetu tunaomba na kutamani tuendelee kuwa hai, ikimaanisha tunatamani tuishi hadi tuwe vikongwe, so as long as mtu anaendelea kuishi uzee utamkuta tu.

Ukiwa interested na mtu mfuate tu PM, muulize umri wake, tumianeni na picha then ndiyo muanze kufikiria na mengine. Sio hadi vikongwe eti tutumie ID na avatars za wazee jamani, msitunyime raha tafadhali
Ameeeeen
 
Nilijua ni pisi kali baada ya kuona avatar yake nikaingia pm mambo yakaenda poa tuka date tukutane 77 hotel pale Arusha.

Niliwahi kufika mapema hapo hotel ili nimuone mpenzi wangu atakapokuwa anaingia jinsi alinyo kimwondoko mapozi nk.

Sitasahau siku hiyo baada ya kujikuta nipo na shangazi yangu na sio pisi kali niliyemtarajia yaani kumbe nilikuwa nachat pm na dada yake baba yangu mzazi,dadeki nilifuta kila kitu nikafungua acc mpya hata shangazi alifuta acc yake na sijui anatumia jina gani ila najua tunaye hapa JF

Yaani tangu siku hiyo nikawa naiheshimu JF na namheshimu kila member
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaah lol.
 
Nilishakimbia wanawake wawili, yule wa mwsho nilikutana nae sehem bahat nzur nilikua nimevaa nguo zimefanana na wahudumu wa pale kwa mbali nikamkimbia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazee tuende wapi sasa? Msitunyanyase bhana lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mom bhanaah ol
 
Back
Top Bottom