Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

All people(except kids), hatupendi kuzeheka, especially nyie wanawake
 
na ambao hatujaolewa na ni vibibi, huwa nachomekewa sana hio,jamanii eeh wadada wa humu ndio hao hao wa huko mtaani,familia na koo zenu,sidhani kama kwenu wameolewa wote,kabla hujaanza kuandika upupu wako,fikiria kwanza kwenu hali ikoje....kwanza 40 is a new 20! lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] chai ya moto hii
 
niliwahi kumpata mmoja alikuwa mkubwa sio chini ya 40 Single mother nadhani akisoma comment yangu atakumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…