Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Umeona ee kwa sasa akili zimetulia hata sisi tuna enjoy kwenye mahusiano yetu kwakweli
Vibinti nyama bado changa halafu vina fujo sana kitandani[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni kweli ni vikongwe jamani mkitufata mjue mnakutana na bibi zenu pisi kali mkazifate insta uko au facebook kwenu
Kuwa kikongwe kwa upande wangu sio shida ..shida Ni je ni mlimbwende !?

Kwako wewe shunie Sina mashaka na hilo
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…