Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Umeona ee kwa sasa akili zimetulia hata sisi tuna enjoy kwenye mahusiano yetu kwakweli
Vibinti nyama bado changa halafu vina fujo sana kitandani[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilijua ni pisi kali baada ya kuona avatar yake nikaingia pm mambo yakaenda poa tuka date tukutane 77 hotel pale Arusha.

Niliwahi kufika mapema hapo hotel ili nimuone mpenzi wangu atakapokuwa anaingia jinsi alinyo kimwondoko mapozi nk.

Sitasahau siku hiyo baada ya kujikuta nipo na shangazi yangu na sio pisi kali niliyemtarajia yaani kumbe nilikuwa nachat pm na dada yake baba yangu mzazi,dadeki nilifuta kila kitu nikafungua acc mpya hata shangazi alifuta acc yake na sijui anatumia jina gani ila najua tunaye hapa JF

Yaani tangu siku hiyo nikawa naiheshimu JF na namheshimu kila member
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom