cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lolMimi sugar sukari tuuu[emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lolMimi sugar sukari tuuu[emoji38]
Mzito kweli kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]Aah mjukuu mji mzito huu
Wacha wee [emoji23][emoji23][emoji23]Tuna 40's ila tunalipa kinyamaaa
Wazee wote wame pumzika, so enjoy!!Sasa mnataka wazee tuji-identify kama sisi ni wazee, tusitengane jamani
Umeona ee kwa sasa akili zimetulia hata sisi tuna enjoy kwenye mahusiano yetu kwakweliTunda lililokomaa ndio tamu sana
Mhhhh wanaume haya tunawaachia nyie maana mnajua sampuli za kila aina lolVibinti nyama bado changa halafu vina fujo sana kitandani[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuwa kikongwe kwa upande wangu sio shida ..shida Ni je ni mlimbwende !?Ni kweli ni vikongwe jamani mkitufata mjue mnakutana na bibi zenu pisi kali mkazifate insta uko au facebook kwenu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]Nilijua ni pisi kali baada ya kuona avatar yake nikaingia pm mambo yakaenda poa tuka date tukutane 77 hotel pale Arusha.
Niliwahi kufika mapema hapo hotel ili nimuone mpenzi wangu atakapokuwa anaingia jinsi alinyo kimwondoko mapozi nk.
Sitasahau siku hiyo baada ya kujikuta nipo na shangazi yangu na sio pisi kali niliyemtarajia yaani kumbe nilikuwa nachat pm na dada yake baba yangu mzazi,dadeki nilifuta kila kitu nikafungua acc mpya hata shangazi alifuta acc yake na sijui anatumia jina gani ila najua tunaye hapa JF
Yaani tangu siku hiyo nikawa naiheshimu JF na namheshimu kila member
Acha uongoMimi na upisi kali wapi na wapi mimi ni kibibi gagula
Sindio hapo uzee ni stage tu ambayo kila mtu lazima ataipitia Kama hatokufa ujananiUzeee lazimaaa
Msitutengee
Mambo beef[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ebu niambie ukweli wakoAcha uongo
EeenhKuwa kikongwe kwa upande wangu sio shida ..shida Ni je ni mlimbwende !?
Kwako wewe shunie Sina mashaka na hilo
Wazee wote wame pumzika, so enjoy!!