Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

Kisa cha wanawake wa JF kuitwa vikongwe/vibibi

na ambao hatujaolewa na ni vibibi, huwa nachomekewa sana hio,jamanii eeh wadada wa humu ndio hao hao wa huko mtaani,familia na koo zenu,sidhani kama kwenu wameolewa wote,kabla hujaanza kuandika upupu wako,fikiria kwanza kwenu hali ikoje....kwanza 40 is a new 20! lol
..teeh, Becky bwana!
 
Nilijua ni pisi kali baada ya kuona avatar yake nikaingia pm mambo yakaenda poa tuka date tukutane 77 hotel pale Arusha.

Niliwahi kufika mapema hapo hotel ili nimuone mpenzi wangu atakapokuwa anaingia jinsi alinyo kimwondoko mapozi nk.

Sitasahau siku hiyo baada ya kujikuta nipo na shangazi yangu na sio pisi kali niliyemtarajia yaani kumbe nilikuwa nachat pm na dada yake baba yangu mzazi,dadeki nilifuta kila kitu nikafungua acc mpya hata shangazi alifuta acc yake na sijui anatumia jina gani ila najua tunaye hapa JF

Yaani tangu siku hiyo nikawa naiheshimu JF na namheshimu kila member

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh jamani Kwaio mlikutana mkaongea nini hio siku
 
Back
Top Bottom