Kisa Chid Benz, bifu la Lady Jaydee na Ray C laibuka upyaaaaaa

Ray C ana ngoma kali inaitwa "unanimaliza" aliitoa around 2017 ila haiku-hit lakini ni bonge la ngoma. Video yake ame-act msanii Rammy Galis.

Sikujua kama hawa watu wamewahi kuwa na beef labda nilishasahau.

Ukiwa-compare wote wawili, JD ana hit song nyingi kuliko Ray C. Kuna siku clouds walipiga karibu song zote alizoimba JD sikuamini kama ana nyimbo nyingi sana alizoimba.

Wote wawili wameshafanya collabo na Rashid.
 
Mungu kamnusuru Jide kula ngada lakini suala la BANGI lipoje kwake?
 
Nitajie hit song 5 za ray c
 
Kwenye Hitsong nyingi Inahitaji mdahalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…