Tripple Jay
JF-Expert Member
- Jul 9, 2017
- 1,012
- 1,939
Hawapo serious kwa kwelihivi kweli mtu uko serious unauliza hit songs za jide
chukua album ya binti utapata hitsong 5
hiyo ni album moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapo serious kwa kwelihivi kweli mtu uko serious unauliza hit songs za jide
chukua album ya binti utapata hitsong 5
hiyo ni album moja tu
Kizazi cha 2000 huyo mkuu usibishane naye.hivi kweli mtu uko serious unauliza hit songs za jide
chukua album ya binti utapata hitsong 5
hiyo ni album moja tu
Abhishek miongoni mwa mastaa wasiokubalika na wengi.Nimepitwa aiseee. Ila kusema kweli ile couple haikua inaendana basi tuuuu nlikua naona kama Aish kapotea njia. Kwahiyo mrembo Aishwarya kakimbia gubu la mama mkwe.
Movie ya khabhi khush, Amitabh ndio alikua hampendi mkwewe kny real life imekua viceversa lol
futa hii koment kabla wakongwe hawajakupopoaIla jide alikuwa anawaza mbele sana
Nasikiliza wimbo wake wa wanaume kama mabinti aliimba yeye papi kocha na mwana fa
Yaani content kawaimba machawa wa leo
Wakati huu wimbo nadhani ni wa miaka 10 iliyopita
Akili za bangi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawapo serious kwa kweli
Unaongea nn yaani sentence mbili hazina uhusiano....Kila mtu ana chaguo lake dogo acha porojo.Unaonekana Bado mtoto Kuna wengine wanasikiliza Melody tu kwa Hilo jide is the best anajua kuimba haboi ...Ray c she is talented lakini hawezi toboa kwa mziki wa siku hizi
Kwani ukikaa mjini ukifa hauozi? Au ukikaa mjini una kipi Cha ziada ?umeongezewa kiungo gani Cha ziada?Unaongea nn yaani sentence mbili hazina uhusiano....Kila mtu ana chaguo lake dogo acha porojo.
Ray c ni mtoto wa mjini ,wa bush ndio mnashabikia jay dee kaulize kwa wakubwa wako.
Acha utoto bhasi,Unaongea nn yaani sentence mbili hazina uhusiano....Kila mtu ana chaguo lake dogo acha porojo.
Ray c ni mtoto wa mjini ,wa bush ndio mnashabikia jay dee kaulize kwa wakubwa wako.
Nadhani umeelewa !?Kwani ukikaa mjini ukifa hauozi? Au ukikaa mjini una kipi Cha ziada ?umeongezewa kiungo gani Cha ziada?
Mtoto wa mjini anajielewa hawezi kujiingiza kifala kwenye starehe zinazoua carreer Kama kula ngada
Watoto wa mjini ni Kama akina dully n.k.
Mtu katoka Iringa huko kaja mjini Kama akina siye tu halafu anajiita mtoto wa mjini
Unafosi tukubali huo ujinga wako , haiwezekani .Acha utoto bhasi,
Siwakubali wote jide na huyo kiuno bila mfupa.
Kwa anayeujua muziki huwezi kumcompare jide na ray c
Lijide lipo juu sana.
Waje tufuta hii koment kabla wakongwe hawajakupopoa
Alimzaba kabisa? Dah Chillah 😂Q Chief alianza kupotezwa na Ruge kipindi hicho wameenda kufanya show kama sikosei Mwanza ilikuwa.
Wasanii wamefanya show ,Ruge akasema kuhusu pesa yao ya show wasubiri hatowalipa siku hiyo, Chila akaona sio kweli akamzaba kibao Ruge ,basi baada ya hapo Ruge akamfungia vioo mazima Chila na huo ukawa mwanzo wa Chila kupotea kwenye gemu.
huogopi kupopolewa miss?Waje tu
Besta? Una fahamu kwamba huyo Besta hakuwah kuwa na hit song hata mojaNdio nakuambia sasa ...lady jaydee enzi izo alikuwa anashabikiwa na washamba kwa vile hata swaga hana mpaka leo mshamba , Ray c alishamuweka chini kweny kila kitu ,Ray c alifananishwa na Besta .
Kweny kucheza sio hit song ndio walifananishwa , Ray c alikuwa complete package ya msanii .Besta? Una fahamu kwamba huyo Besta hakuwah kuwa na hit song hata moja
Jide anajua sana , vitoto vya 2000 hawawezi kukuelewa.Ila jide alikuwa anawaza mbele sana
Nasikiliza wimbo wake wa wanaume kama mabinti aliimba yeye papi kocha na mwana fa
Yaani content kawaimba machawa wa leo
Wakati huu wimbo nadhani ni wa miaka 10 iliyopita
Jide anajua sana , vitoto vya 2000 hawawezi kukuelewa.Ila jide alikuwa anawaza mbele sana
Nasikiliza wimbo wake wa wanaume kama mabinti aliimba yeye papi kocha na mwana fa
Yaani content kawaimba machawa wa leo
Wakati huu wimbo nadhani ni wa miaka 10 iliyopita
Achana naye huyo mkuu, kizazi cha Amapiano huyo haelewi kitu.Acha utoto bhasi,
Siwakubali wote jide na huyo kiuno bila mfupa.
Kwa anayeujua muziki huwezi kumcompare jide na ray c
Lijide lipo juu sana.