Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
Wakuu, za sahizi tena

Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread

Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,

Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko

Sema mpo busy kabisa kunishambulia aseee kupata attention humu ndani ni rahisi sana

Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee

Till next time fellas 🤓😎😎😎😎😎View attachment 2626231
Mimi ume ni dislike kwenye uzi wa Jf usiku wa manane..

😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

Wanaume tuna makolomelo....🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓🤓
 
Huyu mtoto
Kakiwa kakubwa katajuta, katajihisi kakosefu sana kwa upuuzi anaofanya Sasa hivi, technology haifutiki.

Utauona huu upuuzi wako humu ukiwa mkubwa na hap ndip utaona madhara yake kiakili.

Huna huo uwezo kuelewa utaupata baadae. Wenzako wanahangaika Facebook huk kufut maujinga yao miaka hiyo
 
Na ajue ya huku hayafutiki 🤣🤣
Kakimaliza kusoma kaje kuweka tangazo la ajira. Watu wakafukulie makaburi

Ataiona jf ya moto.
 
Dislike zote ni za ye34nbe na Kitimoto
Screenshot_20230518-124235.jpg
 
Na ajue ya huku hayafutiki 🤣🤣
Kakimaliza kusoma kaje kuweka tangazo la ajira. Watu wakafukulie makaburi

Ataiona jf ya moto.
Au una plans na baba zao sio 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Tusamehe sisi watoto mkuuu, tutaishije sasa ukiwaangamiza baba zetu, i beg you tusamehe 😅😅😅😅😅
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom