Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
🤣🤣🤣Kuna watu wanatumia ikes za JF kuombea kazi,Sasa ukiwapa dislike unawapunguzia marks kwenye sivii zao🤣mie Wala simaind dislike manake hata mie mtu akiandika utopolo namtwanga dislike kirohi Safi tu 🙏
 
Mimi sijali dislikes wala kuchukia na haiwi member wa Jf timamu achukie kisa dislikes kitu ambacho hakimpunguzii wala kumuongezea kitu.

Watu mpaka kukusema na kukushambulia ni kukuonya utoto wako ni sio kwamba wamechukulia kiundani.Maana ya kukuonya ni kwamba isije kuwa hautambui tatizo lako na upo ilimradi tu.

Mimi iliwahi kutokea member humu Notorious thug kutembeza like kila post yangu sikumaindi niliwahi kumfuata mpk PM na tukawa tunataniana mule ,ila mwisho wa siku akaacha huonmchezo ikawa full amani.
 
Wakuu, za sahizi tena

Nipo hapa nacheka kaa fala, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread

Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,

Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko

Sema mpo busy kabisa kunishambulia aseee kupata attention humu ndani ni rahisi sana


Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee

Till next time fellas [emoji851][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 2626231
[emoji1418]
 
ye34nbe sasa nimeku unignore ramsi na naziona live dislikes zako naomba uendeleze juhudi, akili ya ziada na maarifa katika kazi yako maana nimegundua kuwa una kitu utafika mbali.
 
Hebu acheni kumnenea mtoto wa mwenzenu mabaya bana,😂.
Ni hizo dislike.tu au kuna jengine.
Huyu ndo madenge wetu wa JF inabid tu tumpende.
Ukute nyie mlivyokuwa wadogo mlikua watundu kuliko yeye😂.

Mi namnenea na kumtabiria kuwa atafika mbali kimafanikio.Akikua ataacha let the kid be🙏
 
Hebu acheni kumnenea mtoto wa mwenzenu mabaya bana,😂.
Ni hizo dislike.tu au kuna jengine.
Huyu ndo madenge wetu wa JF inabid tu tumpende.
Ukute nyie mlivyokuwa wadogo mlikua watundu kuliko yeye😂.

Mi namnenea na kumtabiria kuwa atafika mbali kimafanikio.Akikua ataacha let the kid be🙏
Asante auntiee akee ❤️🌹🤩😍😍
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom