Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
Ngoja nikusaidie kama unatumia Smartphone ama Tablet.

1. Fungua Chrome alafu weka link ya jf ingia.
Screenshot_20230518-140740_Chrome.jpg

2. Click kwenye vidoti 3 vipo juu kulia itafungua
Screenshot_20230518-140832_Chrome.jpg

3. Click kwenye Install App
Screenshot_20230518-140837_Chrome.jpg

4. Alafu utacklick install,
Screenshot_20230518-140903_Chrome.jpg

utapata App ya JF ambayo ni nzuri kwa wale wanaotumia smartphone.

Unaweza pia kuinstall kwenye laptop
Hata siioni mie, au kwa kuwa natumia App??

Hii hapa mimi ndio ninayoitumia kwenye smartphone, tablet na laptop.

Ona hapo huyu kenge mwenzangu kesha nipa dislike!
Screenshot_20230518-141819_Edge.jpg
 
Hebu acheni kumnenea mtoto wa mwenzenu mabaya bana,😂.
Ni hizo dislike.tu au kuna jengine.
Huyu ndo madenge wetu wa JF inabid tu tumpende.
Ukute nyie mlivyokuwa wadogo mlikua watundu kuliko yeye😂.

Mi namnenea na kumtabiria kuwa atafika mbali kimafanikio.Akikua ataacha let the kid be🙏
Hapana Mkuu.

Sikumaanisha. Najua hapa wote tunatania. Hata yeye hamaanishi kuwepo hizo 'dislike'.

Natengua kauli, nakutakia kila la kheri mwanangu ye34nbe. Mungu akuweke na kukutimizia yaliyo makuu.
 
Mimi sijali dislikes wala kuchukia na haiwi member wa Jf timamu achukie kisa dislikes kitu ambacho hakimpunguzii wala kumuongezea kitu.

Watu mpaka kukusema na kukushambulia ni kukuonya utoto wako ni sio kwamba wamechukulia kiundani.Maana ya kukuonya ni kwamba isije kuwa hautambui tatizo lako na upo ilimradi tu.

Mimi iliwahi kutokea member humu Notorious thug kutembeza like kila post yangu sikumaindi niliwahi kumfuata mpk PM na tukawa tunataniana mule ,ila mwisho wa siku akaacha huonmchezo ikawa full amani.
Nakumbuka mkuuu 🤝🤝
 
Asante auntiee ww unaelewa hii mitandao sikua hata serious watu wamepata ghadhabu kaa nn, Duuh

Ndo maana wengi wao maisha hawayawezi ila acha niishie hapo 🤣🤣🤣
Nina mengi yakunisumbua dogo nikiruhusu na vitu kama likes vinisumbue nitakufa an early death.
Wewe ukichoka dislike tafuta hata button ya I HATE YOU AUNTIE unitwange nayo and you will still remain my fav kiddie in here.

ILA siku nikikukamata nitakupa vifinyo vya idadi ya dislikes zote ulizonipa😂
 
Hapana Mkuu.

Sikumaanisha. Najua hapa wote tunatania. Hata yeye hamaanishi kuwepo hizo 'dislike'.

Natengua kauli, nakutakia kila la kheri mwanangu ye34nbe. Mungu akuweke na kukutimizia yaliyo makuu.
Sawa mkuu nimekuelewa🙏
 
Nina mengi yakunisumbua dogo nikiruhusu na vitu kama likes vinisumbue nitakufa an early death.
Wewe ukichoka dislike tafuta hata button ya I HATE YOU AUNTIE unitwange nayo and you will still remain my fav kiddie in here.

ILA siku nikikukamata nitakupa vifinyo vya idadi ya dislikes zote ulizonipa😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sawa auntie akee
 
We si Bora ame dislike[emoji23][emoji23][emoji23]..Mimi mmoja alinifata inbox na stress zake ananiattack kabisa. Hiyo Siku ndo nilijua humu watu stress Ni nyingi Sana. Hanijui simjui Ila alivyopanic na thread yangu. Acha tu[emoji23]
 
Watu wana stress sana za maisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Watapata tabu sana nimekaa 👉👉👉👉
 
Wakuu, za sahizi tena

Nipo hapa nacheka kaa fala, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread

Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,

Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko

Sema mpo busy kabisa kunishambulia aseee kupata attention humu ndani ni rahisi sana

Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee

Till next time fellas 🤓😎😎😎😎😎
Mtoto angu kwa hyo itakuaje?
 
Wakuu, za sahizi tena

Nipo hapa nacheka kaa fala, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hii ni baada ya ku dislike baadhi ya comment za watu na mtu akaamua kunianzishia thread

Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,

Maana najua humu wengi ni watu wazima sana mostly 28+ huko

Sema mpo busy kabisa kunishambulia aseee kupata attention humu ndani ni rahisi sana

Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee

Till next time fellas [emoji851][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Asee hivi nyie watu mnajua mnabishana na mtu mwenye miaka mingapi hivi,
Any way asante kwa kuchangamsha genge acha mimi nikajisomee[emoji23]
 
Huyu mtoto
Kakiwa kakubwa katajuta, katajihisi kakosefu sana kwa upuuzi anaofanya Sasa hivi, technology haifutiki.

Utauona huu upuuzi wako humu ukiwa mkubwa na hap ndip utaona madhara yake kiakili.

Huna huo uwezo kuelewa utaupata baadae. Wenzako wanahangaika Facebook huk kufut maujinga yao miaka hiyo
Kutoadislike kuna athari zipi uzeeni?
😂😂😂😂Wuuuuh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom