Kisa dislike watu mnajisikia kufa duuuh, asee I doubt your self worth

Status
Not open for further replies.
Mimi ume ni dislike kwenye uzi wa Jf usiku wa manane..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanaume tuna makolomelo....πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Aseee noma sana mkuuu,
 
Huyu mtoto
Kakiwa kakubwa katajuta, katajihisi kakosefu sana kwa upuuzi anaofanya Sasa hivi, technology haifutiki.

Utauona huu upuuzi wako humu ukiwa mkubwa na hap ndip utaona madhara yake kiakili.

Huna huo uwezo kuelewa utaupata baadae. Wenzako wanahangaika Facebook huk kufut maujinga yao miaka hiyo
 
Na ajue ya huku hayafutiki 🀣🀣
Kakimaliza kusoma kaje kuweka tangazo la ajira. Watu wakafukulie makaburi

Ataiona jf ya moto.
 
Na ajue ya huku hayafutiki 🀣🀣
Kakimaliza kusoma kaje kuweka tangazo la ajira. Watu wakafukulie makaburi

Ataiona jf ya moto.
Au una plans na baba zao sio 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Tusamehe sisi watoto mkuuu, tutaishije sasa ukiwaangamiza baba zetu, i beg you tusamehe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…