Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Mkuu I know a pastor ambaye ana neema ya kufungua vifungo vya namna zote kama hutojali nikuwekee Namba zake hapa utamtafta
 
AACHANE NAE HUYO MWANAMKE MCHAWI... HAPO HAKUNA KUPELEKANA NA MCH SHEHE WALA WAZAZ...
Mkuu ufahamu Hana wala hawezi kuamua lolote,so ili awe na maamuz yake cha kwanza ni lazima afunguliwe kwanza
 
Sikiliza ngoja nikusaidie bure Bila malipo .huyo rafikio kalishwa madawa ya kumlaza akili kiufupi Bila kutegua hilo ataendeshwa Sana.

Ngoja nikupe dawa ya kumtegua huyo nduguyo arudi kwenye Hali yake na akili zake za kawaida.

Fanya hivi ongea nae akikubali sawa au ambatana nae wewe.

Huyo rafiki yako achukue chakula ambacho kimepikwa na huyo mke wake .uwe ni ugali au wali na mboga yake .aende nao chooni akalize chini sahani ya ugali/wali na sahani ya mboga pembeni .amege matonge na kuchovya kwenye mboga na kula ,matonge hata matano tu yanatosha.

Aisee muda huo huo madawa yote na mazindiko aliyofanyiwa na mkewe Yana ishiwa nguvu na kusambaratika.

Ufumba na kufumbua Akili zake zinamrudia hapo hapo .uzezeta unaisha maana ameshavunja maagano yote ya kishirikina aliyofanyiwa.

Atakuwa mkali kwa mwanamke ,mke ataleta amri na dharau zake hajui jamaa alisha vunja mazindiko yake na akili iko sawa.mme ataanza kutoa kipigo cha mbwa koko.
Heshima itarudi mke atanyooka.fanya hivyo msaidie .ongea nae msihi au hata ambatana nae umsimamie afanye hivyo.

Maana wengi wanaolazwa akili na wake zao huwa wagumu kupokea ushauri .ukimshauri jambo anaona kama unataka kumkosanisha na mkewe
 
Hicho chakula sharti mpaka kiwe kilichopikwa na mkewe. Asitumie chakula ambacho mkewe hakukipika
 
Kalogwa huyoo mtoe kifungoni
 
We we wanawake wanataka kuitawala Dunia na ndiyo dalili za mwisho
 
Mi naona baada tu ya Hawa kumwaribia Adam pale Bustanini Mungu angemrudishia tu Adam Ubavu wake aendelee kuwa na Wanyama maana huyu kiumbe(ke) bado anasumbua..

Nasema uongo ndugu zangu?
[emoji23][emoji23] unasema ukweli ndugu yangu awa watu wanatuzaa tuu lakini Wana kasoro nyingi mnooo
 
Kuoa mtu wa kwenu ni heshima kubwa kwa jamii yako.

Wahaya ndoa zao hazivunjiki mara nyingi sababu wanajitahidi kufata huu utamaduni hata wakiwa mbali na mkoa wao wa kagera...bado wanasaka wahaya wenzao kwenye swala la ndoa
Sio kweli mkuu, ukabila aliuua Mwalimu
 
Kweli duniani kuna elimu nyingi sana, nitamshawishi ili afanye hivyo. Maana anakili kabisa kuwa akili anakuwa nayo ila ni uwoga tu wa kumuogopa huyo mwanamke kama simba
 
[emoji1783][emoji1783][emoji1783][emoji1783]hakuna kitu huwa ninapenda Kama kuangalia wanaochat kwenye daladala. Kuna vitu vy ajabu Sana, mmoja anakwambia "Niko na kaka siwezi kuchati baby" lakini ukiangalia kwa making Kama hakuna ukaka pale. Ila duniani wezi ni wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…