Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Short and clear hao ni wachawi sema na wewe ulitakiwa upige maombi
 
sijaona jambo gumu analopitia,kashindwa kutumia nafasi yake kama mwanaume aseh kama kalogwa vile...
 
Tulishawaambia WASIOE..

Sasa tutawasaidia vipi?

#YNWA
 
wanaume wa hivi huishia kuchoma wake zao na gunia mbili za mkaa...soo sad
 
Mshahara wa jamaa 3M
Kakuzidi 500K
Ok, wewe ni 2.5M...
.sio mbaya......
Waalimu mnaona wenzenu?
 
Mama wa nyumbani, anaupata aje mshahara wa mume wake?
Ile ujasiri anaoupata akiwa nje ya nyumba, autumie kuhakikisha anabadili akaunti ya benki na kuuelekeza mshahara wake huko, na kwa ujasiri huo huo, ahakikishe siku moja harudi nyumbani.
 
Braza last week salary imesoma 2.5M..aiseee.
 
Hii stori design kama unajiongelea wewe mwenyewe... Funguka mzee usaidiwe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Michepuko ni hatar lakin huyu dawa ya haraka haraka ya kumsaidia ni kupata mchepuko halaf umkamate kisawa...yan atengeneze competitor ila thaman yake ipande.
 
Kaka nakuomba umpeleke kwny maombi huyo rafik yako,kwa maelezo yako huyo kaka kafungwa na nguvu za giza,mpeleke kkkt kijitonyama atafunguliwa vifungo vyote alivyofungwa na mkewe
 
Taja kabila la huyo mwanamke kwanza ili mabaharia wasije anguka kwenye ilo kabila
kizembe
Itoshe kusema kwamba ingia kwenye mahusiano ya mapenzi au ndoa na mtu ambae mna values zinazofanana au kushahabihiana.
 
Utajua bhas mama

Ndo ivyo ata akila mghawani ananuswa mikono.

Jamaa anaonekana bahiri kumbe anahela ya nauli tu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuoa mtu wa kwenu ni heshima kubwa kwa jamii yako.

Wahaya ndoa zao hazivunjiki mara nyingi sababu wanajitahidi kufata huu utamaduni hata wakiwa mbali na mkoa wao wa kagera...bado wanasaka wahaya wenzao kwenye swala la ndoa
Ni kweli wahaya ndoa zao hazivunjiki ovyo kwa sababu tabia za michepuko ipo pande zoote kwa mume na mke woote wanacheza ligi za ndani na nje kwa kasi ya 4G. Wewe mwanaume kama huna roho ngumu usije ukaoa mwanamke wa kihaya ambae hana hofu na MUNGU aisee wahaya shikamoo japo sio woote wenye ile tabia sijui waliumbwaje watani zangu wahaya
 
Duh hiyo ni ndoa ama mtu na dada yake mkubwa! Mwambie asimame kama mwanaume/kichwa cha familia/mwisho wa maamuzi mke akizingua amtwange hata makofi ,kumpa 45 naye anakubali tu mmh🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…