Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kama ni kweli huyo jamaa anahitaji msaada wa haraka!anaweza akafa kwa depression anytime
 
Aliniambia huwa anafanya mapinduzi kichwani ila akifika tu home, hana tena nduvu bali ni kuwa muoga sana
Ushauri wa kumpeleka maombi ni mzuri ila sasa siku hizi hata hao wachungaji na wanaojiita watumishi ni wasanii pia. Kama hutojali kuna namna nyingine pia zakumtoa huko
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unachekesha sana weyeeeeh, sio kila limbwata ni la kwenye chakula, watu wamesha develop kutoka huko, saiv limbwata n la kupaka mwilini na kunywa, tena sio huyo mwanaume n mwanamke, ni kali hatareeeeeeh.
Bila mtaalamu wa mambo ya limbwata hafunguki ng'ooooooh.
 
Duh hiyo ni ndoa ama mtu na dada yake mkubwa! Mwambie asimame kama mwanaume/kichwa cha familia/mwisho wa maamuzi mke akizingua amtwange hata makofi ,kumpa 45 naye anakubali tu mmh[emoji848]
Walijua limbwata vizuri weyeeeh dea? Acha tyuuh yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imeandikwa na mtume Paulo kwamba tuishi na wake zetu kwa AKILI.
 
Walijua limbwata vizuri weyeeeh dea? Acha tyuuh yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna libwata pale.....it seems jamaa hakupitia certain stages kwenye maisha yake ndiyo sasa inamghalimu.
 
Hamna libwata pale.....it seems jamaa hakupitia certain stages kwenye maisha yake ndiyo sasa inamghalimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwani limbwata huwa linaaminiwa na watu wa nje? Haya mkampe ushauri huyo muhusika ili atoke kifungoni. Lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwani limbwata huwa linaaminiwa na watu wa nje? Haya mkampe ushauri huyo muhusika ili atoke kifungoni. Lol
Hicho kifungo kajitakia mwenyewe!!
 
Jamaa kaingia mkenge tu, hiyo si ndoa....je mkewe ni Mchagga ama Mpare maana hizi ndo tabia zao.
Tusimlaumu sana huyu bwege.
Si ajabu hata wewe unayesoma mkeo/mumeo anachukuliwa na watu hapo mtaani hata watoto wadogo wanajua na wanakuona juha kwa unavyojipendekeza kwa huyo mwenza Malaya.
 
Yawezekana ni ujinga tu wala uchawi haujahusika.
Mwambie achepuke akili yake itafunguka.
 
Reactions: Lob
Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote, pia nitafanya namna ili nimjue tu huyo mke wake maana nilionywesha kwa picha
Mkuu msaidue huyu mtu, lakini pia jipange kwa roho ya malipizi maana utakapomsaidia lazima wachawi watafute na nani aliyemsaidia mateka wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…