Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Usiite nguvu za giza hizo ni dharau kwa mila na tamaduni zetu za asili.
 
Vipi wee hutak kumkaanga shem? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nlilishwa zito huu halafu nikapelekwa kwa mtaalamu anitapishe nikagoma[emoji23][emoji23],nikamwambia yule mwanamke nampenda we niache tu. Nikaomba anipe kali mara 100 yule mwanamke nae ale ili tupendane zaidi[emoji23][emoji23]. Siku hizi ni mahaba moto moto .
 
Hapo sasa woyoooooooooooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu huyo jamaa ypo kifungoni
mtoroshe hapo nyumbani kwake ,kakae naye kwako hadi wamtafute.
Usuluhishi utaanzia hapo
 
Mshana Jr njoo utoe msaada huku kuna mtu ameshalishwa limbwata
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa najiandaa kumtengeneza shem wako, hadi Bongo za fahamu zake zibadilishane muelekeo wa ufanyaji kazi.
 
Mwanamke huyo atakuwa amemloga sasa hapo itabidi utafute mtu asome dua
 
Hongera sana ulifanya maamuzi ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…