Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa najiandaa kumtengeneza shem wako, hadi Bongo za fahamu zake zibadilishane muelekeo wa ufanyaji kazi.
Uwiiii Embu usifanye ivyo mdogo wangu...dhambi hiyo shauri yako
 
Ukiwa na watoto wakiume inabidi uwaombee Sana ndo Mana mama dangote ni mkali KWA mwanawe na hivi ni maarufu
Kwa hakika hakuna namna inabidi tu uwe mnaa kuokoa mwanao dhidi ya magume gume
 
Walijua limbwata vizuri weyeeeh dea? Acha tyuuh yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dooh kumbe ila hilo limbwata siyo zuri kabisa jamani afu ni dhambi, kweli mume apige kazi mwezi mzima ofisini salary yake uchukue wewe umpe 45k kweli😒😒 tuwaonee huruma watoto wa wanawake wenzetu jamani. Inabidi aombewe afunguliwe hivo vifungo vya muovu shetani.
 
Sasa huyo mama ana mloga mumewe na kuchukua mshahara wote wa mume na kuutumia hovyo mwisho watazeeka hawana hata kibanda, mwanamke tu kuwa mama wa nyumbani hauzi hata vitumbua Mimi naona ana tatizo kichwani, hivi siku huyo mume akiondoka duniani watoto si wataharibikiwa? Ni ujinga kumloga mwanaume ka kichwa Cha nyumba Kuna makabila sio ya kuoa ni wajinga Sana unalilia mshahara wa mume uutumie huanzishi hata biashara mfyuuu kabisa
Toa mfano wa hayo makabila vijana wajihami mapema
 
Kwa hakika hakuna namna inabidi tu uwe mnaa kuokoa mwanao dhidi ya magume gume
Dah mimi mwenyewe nikipata mwanangu apate gume gume nitatembeza kichapo heavy, kisa Cha kumlisha mauchafu mwenzako nini na malibwata mengi hugeuka sumu nakuua wanaume KABLA ya siku zao
 
Aiseee, pole yake huyo rafk yako. Ushauri msaidie uwezavyo. Kama anakataa maombi bc tafta sehemu nzuri tulivu umwite mchungaji mana wengi huogopa fedheha madhabahuni kwamba mtu mzito huyo amelogwa?

So endana na saikolojia yake umsaidie bila kupata fedheha kwa watu wengi yani iwe kama siri[emoji56]

Ila wokovu hauna siri mkuu mtu atafuatuka tu huko nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23] simpatii picha maza hausi akisikia fayaaa!!!, achia!!, achia!!, achia!!!...ooh shaba-ba-ba!!, fayaaaa!!!!
 
Ila wokovu hauna siri mkuu mtu atafuatuka tu huko nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23] simpatii picha maza hausi akisikia fayaaa!!!, achia!!, achia!!, achia!!!...ooh shaba-ba-ba!!, fayaaaa!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah atawatimua wote tangu rafiki, mume na huyo mchungaji watasambaratika hapo na kuacha vumbi tyuuh lol
 
Nakumbuka kuna siku nilikuwa kwenye daladala nimesimama pembeni yangu kulikuwa na mwanamke wa makamo tu alikuwa anatype msg nikakuta macho yangu yanaangalia ghafla tu alichokuwa anatype ni balaaa.

Ile msg ilikuwa anamuomba mwenzie jnsi gani atamweka mkononi huyo kibopa aliekuwa nae ndo nikaamin kumbe haya mambo yapo kweli.
Tupe kinagaubaga baadhi ya maneno mmama aliyokua akiandika.
Ulipoangalia sura yake alikua akifanana Kama mnyamwezi?
 
Purely it's tea, asema hawajaonna kwa miaka mingi tangu wamalize shule, lakini victim anambambia mleta story, si unaona hata uvaaji wangu sio ule unaoufahamu.....chai
Tastes like Tea.

It's probably Tea.....

Oh My! It is Tea!!
 
Case ya Jamaa ako ni easy tu..

Mke hapo kuna uwezekano mkubwa ni mlozi yaani zaidi ya 95%.. kama unamkubali mwanao.. Tafuteni Mganga wa uhakika mpige Ramli.. lazima kuna zindiko.
Jamaa yako atatakiwa kutapishwa vitu alivolishwa.

Pia dawa ya kuoga na in rare cases kuchukua vitu vyake vilivochukuliwa kichawi kama.. Nywele za kichwani,vuzi, kucha, mate, kinyesi shahawa na pesa..

Akifanya haya lazima akili imrudi (Nywele ikichukuliwa maana yake akili imechukuliwa).

Onyo: Risk kubwa hapa ni kwamba wataachana.
Mpaka shahawa wanachukua ili waturoge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa.

Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
Nilitaka Ni like then,nipite ...ila ushauli wako umenifanya vidole viandike neno.mkuu yaani umemaliza,Kama unaona umejitahidi kuvumilia kwa muda mrefu still no changes achana nae,kuishi huna amani ni Kama kuishi kuzimu.amani ktk ndoa ndo kila kitu,unakuta mtu umehaso vya kutosha ,kutafuta maisha,unafanikisha then mtu mwngine anakubadilishia hatima yako,makusudi kabisaaa.
 
Mkuu mtafute Mshana Jr ,ila ubebe konyagi kubwa within 3 days to 7 days jamaa yako atakua timamu
 
Samahani mkuu nisaidie katika hili limewahi kunitokea mimi mwenyewe iko hivi;... Siku moja nilitoka kazini nikafika ndani nikapika, nikala nikacheki taarifa ya habari then nikazima TV, nikaingia chumbani nikalala by saa nane hivi nikastuka baada ya kusikia TV imewashwa niliamka ile nakaribia sebuleni nikaona paka sikujua idadi yao kwa haraka lakn walikuwa kama 15 hivi nikajiuliza hawa paka wameingiaje ndani na madirisha yana nyavu,... basi nikaamua kuwatisha lkn hata hawastuki, ... basi nikarudi chumbani kufika tu chumbani walianza kulia kwa sauti kubwa sana kama dakika tano hivi,... baada ya hapo kukawa kimya na ile TV Ikawa imezimwa. nilipoenda kuangalia tena sikuwakuata je kisayansi hii inaweza kuwa imesababishwa na nini kumbuka hapo nilikuwa naishi peke yangu na baada ya pale sikulala tena hadi kunakucha,... isipokuwa asubuhi jamaa wa chumba cha jirani alizungumzia kuhusu zile kelele za paka kwa usiku ule pls naomba unisaidie hili lilisababishwa na nini.
Yupo maabara tusubili majibu yaje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom