Uwiiii Embu usifanye ivyo mdogo wangu...dhambi hiyo shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa najiandaa kumtengeneza shem wako, hadi Bongo za fahamu zake zibadilishane muelekeo wa ufanyaji kazi.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii story imeniuma zaidi ya teke la pumbu
Haahaa hayaja kukuta bro....Mimi ni kisiki cha mpingo
Kwa hakika hakuna namna inabidi tu uwe mnaa kuokoa mwanao dhidi ya magume gumeUkiwa na watoto wakiume inabidi uwaombee Sana ndo Mana mama dangote ni mkali KWA mwanawe na hivi ni maarufu
Dooh kumbe ila hilo limbwata siyo zuri kabisa jamani afu ni dhambi, kweli mume apige kazi mwezi mzima ofisini salary yake uchukue wewe umpe 45k kweli😒😒 tuwaonee huruma watoto wa wanawake wenzetu jamani. Inabidi aombewe afunguliwe hivo vifungo vya muovu shetani.Walijua limbwata vizuri weyeeeh dea? Acha tyuuh yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo sasa woyoooooooooooooooooh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa mfano wa hayo makabila vijana wajihami mapemaSasa huyo mama ana mloga mumewe na kuchukua mshahara wote wa mume na kuutumia hovyo mwisho watazeeka hawana hata kibanda, mwanamke tu kuwa mama wa nyumbani hauzi hata vitumbua Mimi naona ana tatizo kichwani, hivi siku huyo mume akiondoka duniani watoto si wataharibikiwa? Ni ujinga kumloga mwanaume ka kichwa Cha nyumba Kuna makabila sio ya kuoa ni wajinga Sana unalilia mshahara wa mume uutumie huanzishi hata biashara mfyuuu kabisa
Haihitaji kabila ila ukishaona binti kakulia uswazi na familia isiyo mcha Mungu kimbia upesi Sana usioe.Toa mfano wa hayo makabila vijana wajihami mapema
Dah mimi mwenyewe nikipata mwanangu apate gume gume nitatembeza kichapo heavy, kisa Cha kumlisha mauchafu mwenzako nini na malibwata mengi hugeuka sumu nakuua wanaume KABLA ya siku zaoKwa hakika hakuna namna inabidi tu uwe mnaa kuokoa mwanao dhidi ya magume gume
Aiseee, pole yake huyo rafk yako. Ushauri msaidie uwezavyo. Kama anakataa maombi bc tafta sehemu nzuri tulivu umwite mchungaji mana wengi huogopa fedheha madhabahuni kwamba mtu mzito huyo amelogwa?
So endana na saikolojia yake umsaidie bila kupata fedheha kwa watu wengi yani iwe kama siri[emoji56]
limbwata limekukuta mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah atawatimua wote tangu rafiki, mume na huyo mchungaji watasambaratika hapo na kuacha vumbi tyuuh lolIla wokovu hauna siri mkuu mtu atafuatuka tu huko nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23] simpatii picha maza hausi akisikia fayaaa!!!, achia!!, achia!!, achia!!!...ooh shaba-ba-ba!!, fayaaaa!!!!
Tupe kinagaubaga baadhi ya maneno mmama aliyokua akiandika.Nakumbuka kuna siku nilikuwa kwenye daladala nimesimama pembeni yangu kulikuwa na mwanamke wa makamo tu alikuwa anatype msg nikakuta macho yangu yanaangalia ghafla tu alichokuwa anatype ni balaaa.
Ile msg ilikuwa anamuomba mwenzie jnsi gani atamweka mkononi huyo kibopa aliekuwa nae ndo nikaamin kumbe haya mambo yapo kweli.
Tastes like Tea.
It's probably Tea.....
Oh My! It is Tea!!
Mpaka shahawa wanachukua ili waturogeCase ya Jamaa ako ni easy tu..
Mke hapo kuna uwezekano mkubwa ni mlozi yaani zaidi ya 95%.. kama unamkubali mwanao.. Tafuteni Mganga wa uhakika mpige Ramli.. lazima kuna zindiko.
Jamaa yako atatakiwa kutapishwa vitu alivolishwa.
Pia dawa ya kuoga na in rare cases kuchukua vitu vyake vilivochukuliwa kichawi kama.. Nywele za kichwani,vuzi, kucha, mate, kinyesi shahawa na pesa..
Akifanya haya lazima akili imrudi (Nywele ikichukuliwa maana yake akili imechukuliwa).
Onyo: Risk kubwa hapa ni kwamba wataachana.
Nilitaka Ni like then,nipite ...ila ushauli wako umenifanya vidole viandike neno.mkuu yaani umemaliza,Kama unaona umejitahidi kuvumilia kwa muda mrefu still no changes achana nae,kuishi huna amani ni Kama kuishi kuzimu.amani ktk ndoa ndo kila kitu,unakuta mtu umehaso vya kutosha ,kutafuta maisha,unafanikisha then mtu mwngine anakubadilishia hatima yako,makusudi kabisaaa.Adui wa kwanza wa MWANAUME ni mwanamke, na hii watu wengi watasema ni ushirikina,sio kweli, kwa Wengi wenye wake wanalijua hili, girl friend au mke anataka kwanza kukuchunguza na kukujua kwa kila unachofanya na unakokwenda, baada ya hapo anaanza kukupangia anachotaka yeye, na ukikataa utaitwa mkorofi, ana mahawara,mnyanyasaji, anaharibu pesa,mbishi, na kuitiwa vikao, yote hayo ni kukuogopesha ili jamii na wewe mwenyewe ujione mkosaji na aibu, Ukishakubali hapo MWANAUME utakua mtumwa.
Suluhisho ni kuhakikisha anapanga mambo yake mwenye na kufukuzia goals zake za maisha, Pesa Yake aweke mwenyewe na apangie mwenyewe. akiona anaendelea na ubishi. amwache kwani Maisha yake ni bora kuliko huyo mwanamke.
Hii ya shahawa iko Kigoma. Wanajifanya wanaikamua kumbe wanachukua Yale mabaki kwenye hanjifu spesheli. Kesho mkiachana Ile asubuhi yeye straight kwa babu. Kama umetumbia ndokomu ndio kabisaa umemrahisishia kazi.
hii ni Africa mkuu.kama Ni sayansi kafanye utafiti uje na majibu hapa.Hapana siamini ila najua kwa kutumia sayansi unaweza kumfanya mtu awe hivyo
Yupo maabara tusubili majibu yaje.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Samahani mkuu nisaidie katika hili limewahi kunitokea mimi mwenyewe iko hivi;... Siku moja nilitoka kazini nikafika ndani nikapika, nikala nikacheki taarifa ya habari then nikazima TV, nikaingia chumbani nikalala by saa nane hivi nikastuka baada ya kusikia TV imewashwa niliamka ile nakaribia sebuleni nikaona paka sikujua idadi yao kwa haraka lakn walikuwa kama 15 hivi nikajiuliza hawa paka wameingiaje ndani na madirisha yana nyavu,... basi nikaamua kuwatisha lkn hata hawastuki, ... basi nikarudi chumbani kufika tu chumbani walianza kulia kwa sauti kubwa sana kama dakika tano hivi,... baada ya hapo kukawa kimya na ile TV Ikawa imezimwa. nilipoenda kuangalia tena sikuwakuata je kisayansi hii inaweza kuwa imesababishwa na nini kumbuka hapo nilikuwa naishi peke yangu na baada ya pale sikulala tena hadi kunakucha,... isipokuwa asubuhi jamaa wa chumba cha jirani alizungumzia kuhusu zile kelele za paka kwa usiku ule pls naomba unisaidie hili lilisababishwa na nini.