Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Mi naona baada tu ya Hawa kumwaribia Adam pale Bustanini Mungu angemrudishia tu Adam Ubavu wake aendelee kuwa na Wanyama maana huyu kiumbe(ke) bado anasumbua..

Nasema uongo ndugu zangu?
Duuuhhh!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa umenichekesha sana! Yaan umewaza na kuja maoni yenye hasira kwa hawa viumbe(ke). Lakin MUNGU aliwaamin akawapa task kubwa saaanaa ya kutuleta dunian boss. Ingawa kweli ni viumbe vinasumbua hivi!!!
 
Mi naona baada tu ya Hawa kumwaribia Adam pale Bustanini Mungu angemrudishia tu Adam Ubavu wake aendelee kuwa na Wanyama maana huyu kiumbe(ke) bado anasumbua..

Nasema uongo ndugu zangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wew unaachekesha sana, limbwata limetoka new version, kupaka mwilin na kunywa lol.
Liwe la kupaka la kunywa linafagiwa fasta KidyaMsitu unapajua unapasikia ? Kukusaidia uchawi was kulishwa au kunywa ndio huwa active sana .
 
Liwe la kupaka la kunywa linafagiwa fasta KidyaMsitu unapajua unapasikia ? Kukusaidia uchawi was kulishwa au kunywa ndio huwa active sana .
Hakna lolote labda huyo sio mtaalamu wa limbwata, ndo linaloweza kupipuliwa, ila kwa mtalamu wa limbwata akitengeneza hata watu watembee wapi halichuji wala kuyeyukaa kamweeeeh.
Nna experience na hilo, usinibishie kabisaa.
 
Kwamba akila ananuswa, harufu ya chakula inabaki kwani amekuwa jiko?
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Its sad to have friends like you, unamuona rafiki yako anaangamia unachelewa kutoa a hand of help, nenda hata kwao Katie ripoti ya anachopitia.
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Usioe Mchaga
 
Ni wapi huko? Na hakuna madhara yoyote atapata, ila nimepanga kumpeleka kwenye maombi ingawa ukimwingizia habari za kuombewa hapendi anasema anaimani sasa na kanisani kwake.
Anasali wp?
 
Kuna dingi mkubwa (sasa marehemu) mkewe alimsumbuaga kichiz na alikuwa hawez kufanya maamuzi yoyote ndani ya nyumba ...hali ilipozidi mashangazi wakaingilia kati wakaandika talaka wao na wakahakikisha yule mother anaondoka pale
Kuna mke wa baba yangu wa kwanza alikuwa mshirikina balaa hadi alikuwa anataka kuangamiza ukoo, alifukuzwa na wazee wa ukoo. Mpaka sasa ana miaka zaidi ya 80 anaishi mwenyewe, hata watoto wake wamemshindwa
 
Haya mambo yapo, baba yangu alifanywa zezeta na mke mkubwa. Alipostaafu hatukuwahi kuona hela yake. Alikuwa ni mtu wa kukaa ndani tu hana sauti yoyote kwa mke wake. Alikaa akawa kama ndondocha. Wee acha tu ,ni shida
 
Tatizo wanaacha wanawake wa maana kwa sababu ambazo hazina msingi. Mimi niliolewa na ndoa yetu alikuwa nzuri tu miaka 2 ya mwanzo. Jamaa kapata mchepuko mmama fulani hivi akahamia huko kabisa na akashawishiwa akauza gari yangu. Nikaona isiwe tabu nikaita wazazi wa pande mbili nikaenda kuomba talaka mahakamani . Alivyo mjinga akapangisha nyumba akachukua kodi ya mwaka wakaenda kutumbua hela na mchepuko . Baada ya miezi 6 tu hela ya gari na ya nyumba ikakata. Alifukuzwa na mchepuko akawa analala kwa washikaji. Sasa hivi yupo tu ni dalali kachoka balaa. Tamaa wakati mwingine zinaponza pande zote
 
Yani ukakubali mmama akuvunjie ndoa yako?
 
Limbwata hilo,

Sio mbaya, malimbwata yanaishaga nguvu, so yy aendelee kumuomba mungu wake tu
 
wewe je hali yako ikoje madam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…