Bhujegwe
Senior Member
- Nov 23, 2013
- 135
- 191
Duuuhhh!!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mi naona baada tu ya Hawa kumwaribia Adam pale Bustanini Mungu angemrudishia tu Adam Ubavu wake aendelee kuwa na Wanyama maana huyu kiumbe(ke) bado anasumbua..
Nasema uongo ndugu zangu?
Jamaa umenichekesha sana! Yaan umewaza na kuja maoni yenye hasira kwa hawa viumbe(ke). Lakin MUNGU aliwaamin akawapa task kubwa saaanaa ya kutuleta dunian boss. Ingawa kweli ni viumbe vinasumbua hivi!!!